Intelligence ya UKRAINE katika Vita hii imekuwa nzuri na yenye Ufasaha kuzidi ya Urusi

kwani nani kamvamia mwenzake?
 
Ukiwa na watoto wako ndo uwaambie huo utoto!
 
Kama nyie wanaume kweli watoeni hao nguchiro ndani ya hayo mashimo.
Ili kujua hali yenu mbaya, mmeamua kumtuma Gutterres akabembeleze mwamba aruhusu hizo Nguchiro zitoke humo ndani.
 
Nonsense warusi kila siku wanachukua miji na hakuna cha kufanya Sasa inteligencia gani Sasa mnayo
Akina Biden wamebaki kuwapata silaha wa Ukraine,na nyingi ya hizo zinabutuliwa hata kabla ya kutumiwa,ngoja siku wakishuhidia mrusi anachukua ukraine yote ndio sijui watamwambiki Kibaraka wao aombe suluhu,na wakati huo mrusi atafanya kuwakomoa Kwa kuichukua nyingine angalao Moja,hivi inayomletea kiherehere zaidi.
 
Kama nyie wanaume kweli watoeni hao nguchiro ndani ya hayo mashimo.
Ili kujua hali yenu mbaya, mmeamua kumtuma Gutterres akabembeleze mwamba aruhusu hizo Nguchiro zitoke humo ndani.
Ona huyu nae mwanaume wa shoka anaefokea nyuma ya key board,akikutana na Panya Road anakimbiza kitambi chake hadi anasahau kimkokoteni chake barabarani
 
Nonsense warusi kila siku wanachukua miji na hakuna cha kufanya Sasa inteligencia gani Sasa mnayo
Miji gani wamechukua

Kuna wanajeshi waliokamatwa mateka zaidi ya 5,000. Yaan wa Urusi

Nataka nipeleke ushauri wangu kuwa wafungwe ankle gps then wapelekwe US na nchi za NATO na wengine wanakizwe Ukraine wakatunzwe kwenye zile hotels za Russian oligarch ili kuwahamasisha wanajeshi wa Russia waanze kujisalimisha๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Britanicca
 
Mrusi wa buza hizo taarifa ni za kutokea ccn,france24,hapo Kwa mabeberu wa ulaya pale Brussels na Kwa mabeberu wa Washington, ushauri wa Bure,sikiliza vyombo huru angalao akina aljazeera,au hata Russia today .utaweza patapata angalao taarifa zenye usahihi kiasi Fulani
 
Leo UKRAINE imeshambulia Urusi Kwa mara ya pili

Bryansk inapigwa kwa mara pili hii, mara ya kwanza ilipigwa tarehe 13 April

Britanicca
Imeshambulia mara ya pili,Ilhali mwenzio ameshashambulia mara elfu kumi๐Ÿ˜‚
 
kwani nani kamvamia mwenzake?
Urusi kavamia Ukraine...

Hivi mtu akivamia kwako zaid ya masiku umeshindwa muundoa hapo ni kukubali yaishe..sio unaleta story janja janja oohh sijui nimempiga ngumi ya jicho,mara oohh nimevunja mshale wake...twambia utamtoa lini kwako..hatutaki habari zu uwongo uwongo
 
Russian Today Ni Chombo huru? Utakuwa umechanganyikiwa kweli. Kwenye huu mgogoro Vyombo vingi vya habari Ni kuripoti Fake news TU,Tena hao Russian Today tangu wapigwe pin ndio kabisa wameamua kuwa Pro-Russia. Angalau Kidogo Aljazeera inaripoti kinachotokea au maoni ya Watu mashuhuri.
 
Sijachanganyikiwa ila ni mawazo huru tu
 
Acheni zenu bana, tunataka thread za kusifia JAVELINA kama zamani, saivi naona mnakuja na mambo mengine tu ya ajabu ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ