vipik2
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,845
- 2,258
wakiongozwa na savimbi aka chemba
Huyu ndio "Think tank" wa mabomu ya Arusha, na most likely aliyatoa China
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakiongozwa na savimbi aka chemba
weka ushahidi wa DVR.
ila nawalaumu pia viongozi wangu wa chama,kama video wanasubiri nani ili waitoe
Waliokamatwa ni vijana wa kiislam ambao walishawahi kusafiri kwenda yemen ndicho kigezo polisi walichotumia
Nasema hivyo kwasababu polisi hawajawahi kushindwa kuwakamata wahalifu,siku zote majambazi wanapofanya matukio kesho yake utasikia yamekamatwa mahali Fulani,hata milipuko ya majuzi tayari wameshakamata washukiwa,lakini wale waliolipua mkutano Wa chadema mwaka Jana,hadi leo bado hawajawakamata mtu yeyote,eti wanategemea chadema wawape ushahidi sijui ndiyo waanze uchunguzi au kwakuwa wanahusika wauharibu.
Ikiwa mlipuko Wa juzi tayari washukiwa wameshawadaka,inakuwaje kwa Wa olesiti?hii inanifanya niamini kuwa wahusika walikuwa ni polisi .
Jisachi kichwani,naona km akili yako imehamaPolisi wa TZ na USALAMA TAIFA kazi yao kubwa ni kulinda usalama viongozi wa CCM na KUZUIA MAANDAMANO YA CHADEMA NA KUKANDAMIZA UPINZANI TU. MBONA walioua padri hawajakamatwa mpaka leo....!!!!!stupid.
Hizi ni ndoto, mtu amelala na mke wake ameamkia kwenye mbege amekuja na hii thred
Amani ya nchi hii imeharibiwa na cdm
Amani ya nchi hii imeharibiwa na cdm
Umekosea kodogo sema "amani ya nchi hii imeharbiwa na ccm waotaka kutawala milele"
Ulizaliwa katika mazingira tatanishi
Siku zote uko bize kuisema CDM kisa kuwa nje ya mfumo kwa sababu ya Undumilakuwili wako;jaribu kuwa bize na ACT yenu ya wanafikiAmani ya nchi hii imeharibiwa na cdm
Nachojua wewe siku ya kiama sehemu yako ni jehanamu ya moto hilo hukwepi.