Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Baada ya kulaani kuna laanaKulaaani tuu inasaidia nini?
Mungu wabariki WazunguKupitia kurasa za mitandao ya kijamii za International Democracy Union (IDU), wamelaani kukamatwa kwa Golugwa, wakidai kuwa ni hatua ya kunyamazisha upinzani na kumtaka aachiliwe mara moja kwani ni ukiukwaji wa haki za binadamu.
Hii ni aibu kwa serikali iliyopo madarakani ya mama samia ukurasa mzima wa international democracy union wamepostiwa watu wazito lakini post moja tu imewekwa bendera ya Tanzania ikishtumiwa kwa kukiuka haki za binadamu.
Tamaa za madaraka ni ujinga sana Jeshi la polisi na mamlaka iliyopo madarakani inakiuka haki za binadamu baada ya kupata madaraka ya muda tu, ikumbukwe hii sio nchi ya kifalme.
View attachment 3332826
kulaani na kuweka bendera ya Tanzania kunaichafua mamlaka ya mama samia aliye jificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani.Kulaaani tuu inasaidia nini?
Mama yako mzazi ajawahi kukulaani akili zako mpaka sasa zipo sawa na maisha yakoKulaaani tuu inasaidia nini?
Nchi kwanzaCcm bado wanaishi kwenye zama za ujima...
Unawezaje kufanya viyu kienyeji namna hii?
Hii inahusikaje na hao Mabeberu unaowalilia? 😂😂Mama yako mzazi ajawahi kukulaani akili zako mpaka sasa zipo sawa na maisha yako
Kunaichafuaje? Yaani unategemea kibaraka akusifu? 😁😁kulaani na kuweka bendera ya Tanzania kunaichafua mamlaka ya mama samia aliye jificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani.
Hao mabwana zenu Watoe laan Kwa nani? 🤣🤣Baada ya kulaani kuna laana
Waambie wakamlaani Netanyahu anayewamaliza (genocide) wapalestina wote wa Gaza na West Bank. Hawana ubavu huo. Haya ya kwetu tunayowafundisha chadema kufanya siasa za kistaarabu hayawahusu.Mungu wabariki Wazungu
Kulaani hiyo ni public, mambo mengine ya kutuumiza sisi yanaweza kuja baadaye. Wanasubiri tujae kwenye mfumo ndo wamalize mchezo. Si poa lakini.Kulaaani tuu inasaidia nini?
Ha ha ha haWaambie wakamlaani Netanyahu anayewamaliza (genocide) wapalestina wote wa Gaza na West Bank. Hawana ubavu huo. Haya ya kwetu tunayowafundisha chadema kufanya siasa za kistaarabu hayawahusu.
Hao mbulula wamuumize nani na kw lipi? Wanatulisha Hadi tuumie? 🤣🤣Kulaani hiyo ni public, mambo mengine ya kutuumiza sisi yanaweza kuja baadaye. Wanasubiri tujae kwenye mfumo ndo wamalize mchezo. Si poa lakini.
Nusu ya bajeti ya maendeleo ya Tanzania inategemea misaada na robo ni mikopo!Hao mbulula wamuumize nani na kw lipi? Wanatulisha Hadi tuumie? 🤣🤣