PreGE2025 International Democracy Union (IDU) imelaani kukamatwa kwa kiongozi wa CHADEMA

PreGE2025 International Democracy Union (IDU) imelaani kukamatwa kwa kiongozi wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyu mama asipobadilika tabia yake ya kunyanyasa wapinzani itafika muda atalazimishwa Kwa nguvu
 
Kupitia kurasa za mitandao ya kijamii za International Democracy Union (IDU), wamelaani kukamatwa kwa Golugwa, wakidai kuwa ni hatua ya kunyamazisha upinzani na kumtaka aachiliwe mara moja kwani ni ukiukwaji wa haki za binadamu.

Hii ni aibu kwa serikali iliyopo madarakani ya mama samia ukurasa mzima wa international democracy union wamepostiwa watu wazito lakini post moja tu imewekwa bendera ya Tanzania ikishtumiwa kwa kukiuka haki za binadamu.

Tamaa za madaraka ni ujinga sana Jeshi la polisi na mamlaka iliyopo madarakani inakiuka haki za binadamu baada ya kupata madaraka ya muda tu, ikumbukwe hii sio nchi ya kifalme.

View attachment 3332826
Soma pia Pre GE2025 - News Alert: - CHADEMA: Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa amekamatwa na Jeshi la Polisi usiku wa leo. Inadaiwa amepigwa sana

Wanapendelea kumpiga chura mateke. Fursa iliyo je?
 
Back
Top Bottom