Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 9,468
- 8,281
Nchi kwanza.....Nusu ya bajeti ya maendeleo ya Tanzania inategemea misaada na robo ni mikopo!
Nchi kwanza.....Nusu ya bajeti ya maendeleo ya Tanzania inategemea misaada na robo ni mikopo!
🚮🚮🚮 Wewe kadanganye hao nyumbu mnaowakusanya huko sio Mimi.Nusu ya bajeti ya maendeleo ya Tanzania inategemea misaada na robo ni mikopo!
Hakika🚮🚮🚮 Wewe kadanganye hao nyumbu mnaowakusanya huko sio Mimi.
Nyumbu ni yule anayeamini CCM iliyoshindwa kutatua matatizo ya watanzania Kwa zaidi ya miaka 48 itaweza kufanya hivyo ndani ya miaka 5 ijayo kwa kutumia njia zile zile za miaka yote!🚮🚮🚮 Wewe kadanganye hao nyumbu mnaowakusanya huko sio Mimi.
Umemsikia Waitara alivyosema bungeni? Kasema jimboni kwake shule nane zina kitabu kimoja tu cha Somo la kemia!Hakika
Mlv mlv mlv mlv.....Umemsikia Waitara alivyosema bungeni? Kasema jimboni kwake shule nane zina kitabu kimoja tu cha Somo la kemia!
Hiyo ndiyo kazi ya CCM mnayoishabikia!
Kuna Nchi au chama gani komewahi maliza matatizo y Watanzania?Nyumbu ni yule anayeamini CCM iliyoshindwa kutatua matatizo ya watanzania Kwa zaidi ya miaka 48 itaweza kufanya hivyo ndani ya miaka 5 ijayo kwa kutumia njia zile zile za miaka yote!
Kuna mahali nimeandika kumaliza matatizo? Au unatunga tu hadithi zako!Kuna Nchi au chama gani komewahi maliza matatizo y Watanzania?
Hawezi kukuelewa. Mambo unayomwambia ni maakubwa sana kwake.Nusu ya bajeti ya maendeleo ya Tanzania inategemea misaada na robo ni mikopo!
Kwa ivo ule mshahara waliosemwa utaongezwa hadi laki tano mtu akilazwa Muhimbili siku kumi tu mshahara unakuwa imekwisha na hapo ni bila kupewa sawa au kupimwa!Mwambie tu gharama za kulaza mgonjwa pale muhimbili ni tsh 50000/= kwwa siku.
Imagine IDU kama imejaa viongozi kama waleKupitia kurasa za mitandao ya kijamii za International Democracy Union (IDU), wamelaani kukamatwa kwa Golugwa, wakidai kuwa ni hatua ya kunyamazisha upinzani na kumtaka aachiliwe mara moja kwani ni ukiukwaji wa haki za binadamu.
Hii ni aibu kwa serikali iliyopo madarakani ya mama samia ukurasa mzima wa international democracy union wamepostiwa watu wazito lakini post moja tu imewekwa bendera ya Tanzania ikishtumiwa kwa kukiuka haki za binadamu.
Tamaa za madaraka ni ujinga sana Jeshi la polisi na mamlaka iliyopo madarakani inakiuka haki za binadamu baada ya kupata madaraka ya muda tu, ikumbukwe hii sio nchi ya kifalme.
View attachment 3332826
Ukimuuliza sana atakwambia ana BIMA! Hahahaha Ivi ni watanzania wangapi wana BIMA??Kwa ivo ule mshahara waliosemwa utaongezwa hadi laki tano mtu akilazwa Muhimbili siku kumi tu mshahara unakuwa imekwisha na hapo ni bila kupewa sawa au kupimwa!
Bima yenye uwezo wa kulipia gharama zipi za matibabu?Ukimuuliza sana atakwambia ana BIMA! Hahahaha Ivi ni watanzania wangapi wana BIMA??
Huo ni urongo sema ccm kwanza.Nchi kwanza.....
Umoja wa Kimataifa wa Demokrasia umechapisha katika ukurasa wake wa X ukidai mienendo ya Demokrasia nchini Tanzania sio ya kuridhisha huku ukishauri kufanyika kwa mabadiliko ya kidemokrasia pamoja na haki za binadamu
View: https://x.com/idualliance/status/1922230085098029514?t=5SzC6oi5b0XGCBi0UB-HXQ&s=19