PreGE2025 International Democracy Union (IDU) imelaani kukamatwa kwa kiongozi wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nyumbu ni yule anayeamini CCM iliyoshindwa kutatua matatizo ya watanzania Kwa zaidi ya miaka 48 itaweza kufanya hivyo ndani ya miaka 5 ijayo kwa kutumia njia zile zile za miaka yote!
Kuna Nchi au chama gani komewahi maliza matatizo y Watanzania?

Nyumbu huwezi kuwa na akili ndio maana jambo dogo la Bajeti ya Nchi linakishinda,utaweza nini zaidi ya kukusanywa na kuswagwa na nyumbu wenzako?
 
Mwambie tu gharama za kulaza mgonjwa pale muhimbili ni tsh 50000/= kwwa siku.
Kwa ivo ule mshahara waliosemwa utaongezwa hadi laki tano mtu akilazwa Muhimbili siku kumi tu mshahara unakuwa imekwisha na hapo ni bila kupewa sawa au kupimwa!
 
Imagine IDU kama imejaa viongozi kama wale
 
TunaziIdi kujipaka matope wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…