International friendly: Tanzania (Taifa Stars) vs Ivory Coast (Les Éléphants)-Updates

International friendly: Tanzania (Taifa Stars) vs Ivory Coast (Les Éléphants)-Updates

Heshima kwanza.
Mkulu yupo uwanjani na timu zote zipo uwanjan zikisubir kipenga kupulizwa......
A minute of silence is observed for our belovd Kawawag, Rip.
We are underway and it iz 0735 local time
 
Ngassa anakosa bao la wazi kabisa akiwa amebaki yeye na kipa kasubiri mno mpaka Kolo Toure kamuintercept
 
hivi kipa ni nani? na fwd imeanza vp. nimesikia kigi na ngassa wako, je mgosi kaanza nae? na yule dogo aliefunga bao la kwanza Elitrea kaanza au?
 
dkk 45 0-0, dkk za majeruhi sasa. mmh! maximo aongezewe mkataba jama!
 
dkk ya ngapi? mbona score za live online zinaonyesha dkk45+ 0-0
 
kuwafunga hawa jamaa ni ndoto tena ya mchana ila kikubwa ni kujifunza toka kwao, physique wametuacha mbali sana, jamaa wameshiba vibaya mno, yaani sijui tufanye nini
 
Back
Top Bottom