Heshima kwanza.
Mkulu yupo uwanjani na timu zote zipo uwanjan zikisubir kipenga kupulizwa......
A minute of silence is observed for our belovd Kawawag, Rip.
We are underway and it iz 0735 local time
kuwafunga hawa jamaa ni ndoto tena ya mchana ila kikubwa ni kujifunza toka kwao, physique wametuacha mbali sana, jamaa wameshiba vibaya mno, yaani sijui tufanye nini