Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
- Thread starter
-
- #41
Tuna mpira huo??
Kipindi cha pili kimeanza Ivory Coast wamepumzisha mastaa wao wote wameingiza kukosi kingine.
Uko uwanjani ama??,mpira wa Afrika unafanana aisee,so twaweza tu kuwafunga wao wametuona ndo maana wakaamua kuja kufanya trial na sisi kabla hawajaenda kupambana Angola,binafsi nina imani sana na timu yetu ya sasa,niliiona ilivyocheza na Cameroon Dar na Younde ilicheza vizuri sana.Pia hata mechi na New Zealand(ambao baadhi yetu tuliwadharau lakini June wanakipiga bondeni) tuliyowachapa 2-1 niliwaona pia,timu ni nzuri though kuna mapungufu machache sana ya kurekebisha..Tusubiri dakika 90 na tuone
Mkuu mi naona ulinganifu huu sio mzuri coz ni watu wawili wenye utofauti mkubwa sana ktk maendeleo ya soka kiujumla, lakini haina maana kuwa wachezaji wetu hawawezi kufurukuta kuwapa tabu hawa jamaa coz kama ingekuwa sisi ni vibonde kiasi hicho tungekuwa tumeshafungwa magoli yasiyohesabika ila kwa sababu wachezaji wetu nao wanaupiga mpira huohuo anaopiga drogba ndio maana matokeo yapo hivyo mpaka sasa, mimi sioni huo mpira kama unavyojua Tz bado hakuna michannel ya kuruka mpaka nchi nyingine ila mkuu naufahamu huo utofauti unaouzungumzia japo sio kwa kiwango hicho cha kuona kwamba hata kuwafunga hatuwezi, kumbuka huu ni mpira lolote linaweza tokea...Thanks mkubwa kwa maelezo yako ila mimi sipo uwanjani...Je swali la haraka haraka tu tunaweza kumfananisha Drogba na Jerry Tegete??Sasa hapo tu tukipata jibu tunaweza kuelewa kwamba tunaweza kuwafunga hawa..ila kwa sisi TZ ni vigumu kidogo!!
Mkuu mi naona ulinganifu huu sio mzuri coz ni watu wawili wenye utofauti mkubwa sana ktk maendeleo ya soka kiujumla, lakini haina maana kuwa wachezaji wetu hawawezi kufurukuta kuwapa tabu hawa jamaa coz kama ingekuwa sisi ni vibonde kiasi hicho tungekuwa tumeshafungwa magoli yasiyohesabika ila kwa sababu wachezaji wetu nao wanaupiga mpira huohuo anaopiga drogba ndio maana matokeo yapo hivyo mpaka sasa, mimi sioni huo mpira kama unavyojua Tz bado hakuna michannel ya kuruka mpaka nchi nyingine ila mkuu naufahamu huo utofauti unaouzungumzia japo sio kwa kiwango hicho cha kuona kwamba hata kuwafunga hatuwezi, kumbuka huu ni mpira lolote linaweza tokea...
Nami nimekupata mkuu wanguMkubwa nimekupa na thanks ila pia baada ya hapo nikasema bora wajitahidi tu tutoke nao hata hiyo 1-0 nadhani itakuwa vizuri pia!!
jamani wadau vp mbona kimya?