Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
- Thread starter
-
- #81
Tena wachezai wetu hawana nidhamu.Mafanikio kidogo ,kichwa kinavimba halafu mnamlaumu kocha.Hovyooo,mnafikiri mafanikio yanakuja mara moja tu kufumba na kufumbua.wachezaji wa kibongo wanapenda sifa kama hizi na sio kucheza mpira...
Taifa Stars hii hii ambayo imeshindwa ata kuchukua Challenge Cup? Labda tubadirishe kocha na sio huyu kilaza tuliye naye sasa hivi.