International School, watoto hutafuta vitu vitatu tu

Wanasoma non stop? Kuna Likizo acha ubishi wa kijinga, wale likizo zao unazani wanaenda kusoma Tuition?
 
Wanasoma non stop? Kuna Likizo acha ubishi wa kijinga, wale likizo zao unazani wanaenda kusoma Tuition?
Oooooh so unadhani trip zinakuwa organized na shule as a study trip,,, maybe kwa Watt walio develop affinity na bongo,,, most of kids hurudi makwao during summer vocation ,,,, hakuna any study trip kwa wakati wa summer unless wametaka wanafunzi wa IB diploma au MPY
 
Kuhusu connection ni kweli kabisa ..consider kalimangonga ongala..mtoto wa remi ongala amesoma ist pamoja na mtoto wa bakhresa na ni marafiki Sana na Kuna kipindi alikuwa Kocha Azam...unafikiri Kali atalala njaa mjini so kuhusu connection ni kweli...mfano mwingine Mimi ni mwalimu Kuna dogo ni mwanafunzi wangu anasoma St Joseph ni class mate wa mtoto wa magufuli jurgen Yule bonge wa mwisho...
 
Na mm vijana wangu lazima wasome huko sio kaka mrudikano wa shule za kata wanafunzi wote wa hapo hapo kijijin hakuna exposure yeyote ni ujinga ujinga tu

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Acha kujipendekeza kumendea connection, pambana ili wanao baadae waombwe connection. Wa TZ MNA matatizo gani? Sawa kasoma na Jurgen, so! Kapata nini? Acheni kufundisha vijana uchawa!
 
I wish ningekuwa na pesa wanangu wangesoma IST pasi na Shaka...
 
Na mm vijana wangu lazima wasome huko sio kaka mrudikano wa shule za kata wanafunzi wote wa hapo hapo kijijin hakuna exposure yeyote ni ujinga ujinga tu

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Darasa moja watoto Mia 3πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Shuleni watoto wanakula burger, hotdog, chipsi kuku mayai au unachagua unachotaka kula, wanafuliwa machup na maant, walimu wazungu, waganda , Kenya na naigeria, wabongo wapo wachache walianzia assistance, alafu mishahara Yao ya chini, sio Kama ya wageni.
 
Really,, burgers na hotdogs kwenye lunch box ya mtoto?? Au kwa school cafeteria?? Duuuh
 
Haizidi 4.5M including usafiri, wana ufaulu mzuri sana pia kuna Right Way ipo Mbezi Makonde inamilikiwa na Nehemia Mchechu na Mkewe Mercy Luhanga.Ada zao hazipishani sana.
Kawaida kabisa ukipigana kutafuta hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…