International School, watoto hutafuta vitu vitatu tu

International School, watoto hutafuta vitu vitatu tu

Watoto wa level hizi awawazi ajira au kuajiriwa tayari Wana maisha.
Tusidanganyane, hakuna asiyependa kuajiriwa. Rejea Nikki wa pili, rejea watoto wa vigogo like Ridhi 1 na wengineo. Mbowe kanyang'anywa ubunge nafikiri uliona alivyohaha. Acha kudanganywa na misemo ya vijiweni.
 
Hiz

Hao 2 kwa 10 lakini wengi awatupani
Ni kweli, msaada wa kumsaidia mtu mpaka awe rafiki yako, au umezoeana naye, ni ushamba. Saidia mtu yeyote mwenye sifa stahiki, and leave! That's how true gentlemen live!
 
Mkuu mimi nimesoma shule hizi unazoziiya za international lakini bado nakula msoto mtaani na hakuna chochote nilicho ambulia zaidi ya chai ya maziwa na mayai ya kuchemsha tulokuwa tukipewa asubuhi
Wakati wako bado
 
Sipondi hizo shule but alichosema ni uongo hivyo sio vitu ambavyo vinaunda pillars z mitaala kama International Baccalaureate ni moja ya mitaala migumu na bora dunia nzima,, hata USA wanaosoma mitaala hii ni Watt talented na madoni,,,, na huo mtaala ndio unafundishwa hapo IST
Mtt anaingia Kuchukua IB diploma huo muda wa kusafiri anatoa wapi wakat hata weekend wanasoma

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa wale watoto wanakula Bata acha kabisa, kuhusu kusafiri kwani ni kila siku? Wanasafiri wakati wa Likizo
 
ume overate sana hizi shule... Kubwa katika shule hizi ni ile IB... Kutumia mtaala wa kimataifa na hata mtoto wa international professional akihama nchi moja hana shida kupata shule anakoenda .. Mfano anatoka Tanzania anahamia Indonesia ipo tena shule kama hii.

Asilimia kubwa wanaosoma hapa ni watoto wa international NGO/ Embassies/ Bank and other international jobs... Si watoto wa wafanya biashara .. Ingawa watoto wa wafanya biashara wapo...

Hivyo swala la networking halipo pale. Kwanza wote ni wanafunzi ... Halafu hawakutani tena maishani .. Ile ni shule kwa mtaala wa kimataifa .... Sio networking school.

Hayo mengine ya exposure na confidence ipo mahali popote kwenye mazingira mazuri ...Hata kupitia makanisa na platform mbalimbali
Hujui nazani
 
Mkuu mimi nimesoma shule hizi unazoziiya za international lakini bado nakula msoto mtaani na hakuna chochote nilicho ambulia zaidi ya chai ya maziwa na mayai ya kuchemsha tulokuwa tukipewa asubuhi
St Mary's nayo ni International school?
 
Hahaaa wale watoto wanakula Bata acha kabisa, kuhusu kusafiri kwani ni kila siku? Wanasafiri wakati wa Likizo
Bata kwa bajeti y wazazi wako. Kwani hapo Mkunduge Shule ya Msingi mmenyimwa kula bata?
 
Tunatofauti mioyo
Ni kweli, dunia hii ukiwa na moyo kama huo mshukuru sana Mungu, you're special. Kwamba unamsaidia mtu yeyote anayestahili hata usiyemzoea au asiye rafiki yako, pasi kutaka malipo wala mazoea.
 
Hahaaa wale watoto wanakula Bata acha kabisa, kuhusu kusafiri kwani ni kila siku? Wanasafiri wakati wa Likizo
Wanakula bata?????????? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]IB curriculum = (mtaala wa advance wa bongo mara)²⁰⁰

Unachanganyiwa na philosophy hesabu kila subtopic una swali la philosophy kuhusu hyo sub topic na mwanafunzi anachukua HL 3 na SL 3
Hapo bado 4000 word's research paper inayokuwa marked twice na waalimu shuleni na IB markers nje ya nchi,,,, halafu unasema wanakula bata???

Below ni mfano of what the kids are going through on a single topic of properties of water
Screenshot_20220122-145633.jpg
 
Sasa unafananisha links walizo nazo kina Mo, Fatema Dewji, Yusuf Bakhresa na hao kina Bashite, Le mutuz???? Hao watu wanaweza kuwa na connections ambazo hata Chief Hangaya hana!
Acha uongo, wewe umesoma wapi?
 
Back
Top Bottom