Internet ya bure imeharibu betri ya simu yangu

Set simu yako isi run background
 
Mbona una furaha sana au unatumia vpn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wala😂
Huyo Extrovert amewasilisha kile nilichotaka kuuliza
Nilikuwa nafuatilia tu ili na mimi niepukane na unyonyaji wa vocha na vifurushi.
Nimekata tamaa baada ya kusikia inakubali Kwa line ya Halotel.
 
Ni usumbufu tu, kila mra unahangaika kutafuta server yenye kitonga...
Vpn ni muhimu kazi yake siyo free data tu acheni kukalili wenzenu tunatumia vpn hata bila ya free data ..maana naona watu wa ccm wanataka kudanganya watu humu ili wawape kesi chafu za kufichua ukweli.
Faida ya vpn ni nyingi tu mfano mimi naweka pesa kwenye mifumo tofauti na mifumo ya kampuni za simu na ikatokea nataka kuleta pesa kwenye mfumo wa kampuni za simu na bando sina hivyo vpn inaniokoa kutoa pesa na kuzileta kwenye simu ..pia inasaidia kuto kutumia sana bando kutaka kujua nini kinaendelea duniani kama hapa JF
 
Mimi inaniletea hivi
Kwahiyo lazima niconnect data ndio nitumie??
Nashindwa kuelewa mana nna bundle hivo nikiwasha data sielewi inayotumika ni hivo vpn au ni bundle languView attachment 2330104
Ngoja bando liishe ...ila kazi ya vpn siyo tu kukupa data bure ...maana nawaona wapinga vpn wanashadadia bando tu kama ndiyo kazi ya vpn wakati lengo kuu la vpn siyo free net
 
Aisee

Endelea kuota nipo na Thor apa naserereka sio poa [emoji119]

Juzi Thunder serva ya UK ilikua [emoji91]
Hivi ilitokea nini juzi na jana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]maana mimi nime download movies za kama GB 30 hivi na kuangalia live muvi kama za gb10 hivi ilikuwa kasi hatari...simu yangu ina storage ya GB128 baada ya kudownload hayo mamuvi simu inakaribia kujaa maana ilikuwa na free space kama gb38 tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vya bure vina gharama...
Wewe zuzu umekremu kazi ya vpn ni kupata data bure tu ? Sasa acha nikuambie wezio tunatumia vpn siyo kwa data tu bali kwa sababu za kiusalama pia na ndiyo lengo kuu la VPN
 
Unatumia VPN gani na mtandao you inakimbiza hivyo ?
 
Mimi sim yangu nilinunua dukan mpya ikiwa na mAh 5000 betri ilikua inakaa siku 2 hata nisipo zima data ,me huwa nawasha data asubui saa 12 na huwa sizimi data mpka usiku inakuwa na 70% au 60% na nikifika sicharg mpka kesho yake usiku inakuwa imebaki 10% .

Sasa cha ajabu saiv naanza kutumia asubui ikiwa na 100% ila haifiki jion imeisha.

Nime download application nyingi zaid ya 20 kuna zingine zisitumii sana, je tatizo ni nini?
 
Aisee

Endelea kuota nipo na Thor apa naserereka sio poa [emoji119]

Juzi Thunder serva ya UK ilikua [emoji91]

Acha mbwembwe alafu za uongo, vpn lazima.uwe na.internet.ndo uconnect na.haiwezi.kuact kama.mtandao wa.simu haina infrastructure izo
 

Jitahidi ununue portable wifi devices data ni battery draining
 
Kwahio vpn walikupa laini ya simu? Walikutengenezea minara? Acha mbwembwe
Hivi wewe nguruwe wa sisiemu bado tu tunabishana kuhusu vpn wakati tumekuambia sisi tunatumia ....wewe babayako aliuza ng'ombe kukusomesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe
 
Hivi wewe nguruwe wa sisiemu bado tu tunabishana kuhusu vpn wakati tumekuambia sisi tunatumia ....wewe babayako aliuza ng'ombe kukusomesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe
achana naye huyo muda tu nimetoka kutumia http custom na ha tunnel
 
Acha mbwembwe alafu za uongo, vpn lazima.uwe na.internet.ndo uconnect na.haiwezi.kuact kama.mtandao wa.simu haina infrastructure izo
Mkuu, zungumza basi kama unamiliki kichwa, usi type ili mradi umetype! Ningepangiwa mitaa ya kwenu nisingekuhesabu kabisa, wewe na familia yako! Ebo! 😡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…