Internet ya bure imeharibu betri ya simu yangu

Hivi wewe nguruwe wa sisiemu bado tu tunabishana kuhusu vpn wakati tumekuambia sisi tunatumia ....wewe babayako aliuza ng'ombe kukusomesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe

Vpn inahitaji internet kuconnect we paka, na hakuna connection yoyote kati ya vpn na free internet
 
Mjomba VPN zote zinaua simu, Short-cut is the wrong-cut.. enjoy!
 

Hizi mambo tuachie sie wewe nunua vocha tu kulinda betri la kimeo chako lisibabuke
 
Acha mbwembwe alafu za uongo, vpn lazima.uwe na.internet.ndo uconnect na.haiwezi.kuact kama.mtandao wa.simu haina infrastructure izo
Tumia thunder vpn na rain ya halotel uje ulete mrejesho
 
Hapo umekosea kidogo vpn kazi yake kuu kabisa siyo free net ...hivyo usijidanganye kuwa wenye simu kali awatumii vpn ...vpn kama zilivyo app nyingine kuna sehemu ya kununua ya VIP hivyo nyingine zina option 2 ya bure na yakununua na nyingine ni bure na nyingine ni zakununua tu....vpn zinatumia hadi na majasusi ya dunia ya kwanza.
 
Umejaribu ukaona hakuna ....kwanini usijaribu kwanza maana tumesha sema jinsi ya kufanya

sasa we unadhan sina akili navokwambia hakuna internet ya bure kwa vpn? vpn inafanya kazi inaoitwa TUNNEL NETWORKING, kazi yake ni kuforge requests sio kutoa internet ya bure na VPN yenyewe bila internet haifanyi kazi
 
Tumia thunder vpn na rain ya halotel uje ulete mrejesho
Speed yenyewe inachezea kb 14 sasa si bora ata kobe[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] inawafaa ndugu wa facebook
 
Tumia thunder vpn na rain ya halotel uje ulete mrejesho
mzee hakuna logic yoyote ilopo kwenye free internet na vpn, VPN ni service inaotoka nje ya halotel sio inaosimama kwa niaba ya halotel, you cant make thunder vpn an ISP
 
Sever gani unakimbia vizuri kwa thunderstorm [emoji3547] Vpn ?
Mimi nipo VIP kabisa nili icraki hiyo vpn hivyo naudumiwa kama VIP USER speed ni kubwa tu zaidi ya mara 3 ya VIP YA BURE UNAYO TUMIA WEWE.
 
Mimi nipo VIP kabisa nili icraki hiyo vpn hivyo naudumiwa kama VIP USER speed ni kubwa tu zaidi ya mara 3 ya VIP YA BURE UNAYO TUMIA WEWE.
Ili kupata access ya Vip unafanyaje na je unalipia au free ?

Mimi sina VIp natumia normal server nikaifuta kuona mizinguo ..

Nipe michongo nirudi kea ari mpya nguvu mpya ...
 
We ndo hujanielewa pia..VPN tumeanza tumia muda Wala haikuwa kwa free internet..mfano mm nilikuwa na VPN moja muda sana natumiaga tu kwa mambo yangu Hadi kuna siku Sina bando ndo mtu akanambia download VPn flani connect nikamwambia mbna ninayogo kweli kujarbu nikapata free internet kwa hio VPN
Siku hizi watu wanapeana connect za VPN zenye free data wakizijua hivo wengi wanazo kwa ajili ya sifa hivo
 
Na ndiyo hicho nilichokuwa nasema maana watu wanataka kuwaaminisha wengine kuwa umuhimu wa vpn ni bando tu hivyo waachane nazo na kuziusisha na umasikini kumbe hata matajiri wanatumia ila VIP VPN
 
mzee hakuna logic yoyote ilopo kwenye free internet na vpn, VPN ni service inaotoka nje ya halotel sio inaosimama kwa niaba ya halotel, you cant make thunder vpn an ISP
Wewe jamaa wewe ni zuzu kweli kweli sijui imekuwaje samia ajakuona akupatie uwaziri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa niambie mimi natumiaje Internet bure kwa kutumia vpn ? Au tuambie kuwa wewe umejaribu ukashindwa...kama ujafanya jaribio nyamaza .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…