Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
😆 imebidi ni cheke tu. unafahamu maana setelite .ushatumia skynet kwanzaHuwezi kamata Azam Marekani kwa sababu beams zake hazifiki. Zinaishia Afrika tu. Kama beams za starlinks zinafika huku Tz hilo halina shida.
Eutelsat 7C at 7.0°E - LyngSat Maps pita hapa uone beams za Azam tv alafu ndio uhakiki maneno yako.😆 imebidi ni cheke tu. unafahamu maana setelite .ushatumia skynet kwanza
Endelea kutiririka mkuu. Tunaweza kukipataje na angent atapatikanaje.unapozungumzia setelite tofauti na huduma zengine ambazo ni rahisi kuwekewa vikwazo mfano mfumo wa redio za sauti,mawasiliano ya simu na njia za waya au wireless zenye uwezo masafa yasio kwenda juu usawa wa bahari.
nimeleta mada kwenu sababu hiki kifaa nakitumia hapa tanzania na kwenye usajili wake ukiwa marekani yani sawa na king'amuzi cha azam usajii tanzania ukakituma marekani.
kiancho fanya kuweza kufanya ni kufata wapi setelite yake ilipo ambayo hata TCRA awezi kuzuia setelite kupita nje ya dunia.
hitimisho:kiufupi zinafanya kaziView attachment 2895164
View attachment 2895162
Waelezee beams maana yake nini ?Huwezi kamata Azam Marekani kwa sababu beams zake hazifiki. Zinaishia Afrika tu. Kama beams za starlinks zinafika huku Tz hilo halina shida.
kama una mtu marekani ni rahisi au hata kenya hapa kukufanyia usajiliEndelea kutiririka mkuu. Tunaweza kukipataje na angent atapatikana
Mtiririko wa mionzi ya sumaku umeme (mawimbi ya redio) iliyojilimbikizia mwelekeo fulani kutoka kwa chanzo (antenna ya satelaiti iliyopo angani.)Waelezee beams maana yake nini ?
KAMA HUJUI NYAMAZA NA USIJIAIBISHE BOSSHuwezi kamata Azam Marekani kwa sababu beams zake hazifiki. Zinaishia Afrika tu. Kama beams za starlinks zinafika huku Tz hilo halina shida.
Brother. I do satellite tv installation as a hobby. Najua A- Z kuhusu mawimbi ya satellite na ufikaji wake pamoja na vifaa vyake. Yes kuna uwezekano wa mawimbi ya Starlinks kufika Tanzania na nchi nyingine kulingana na malengo yake. Ila kwa Azam tv (mawimbi yake hayafiki Marekani!) Hata uwe na dish la ukubwa wa uwanja wa mpira. Hilo hakuna ubishi.KAMA HUJUI NYAMAZA NA USIJIAIBISHE BOSS