Internet za post paid ni bei chee lakini hakikisha ukiacha kuitumia unatuma barua ya kusitisha lasivyo utadaiwa pesa kwa miezi ambayo hukulipia

Mimi ninayo hiyo ya sim card, kipindi hiko ilikuwa gb 37 lakini wanapunguza gb kila leo, kiasi kiko poa maana tunatumia watu wawili kwa mwezi mzima bila shida yoyote.
 
Mkuu Mimi nazungumzia post paid na sio hivi vifurushi vya kawaida (pre paid)

Hapo kuna namna napigwa mkuu. Mi mwenyewe natumia Post Paid kila baada ya tar 5 hadi 7 wananitumia bili yangu. Na mimi nilichukua data tu peke yake.
 
Naweza kuifanya line yangu ya voda kuwa line ya superkasi?
 
Naweza kuifanya line yangu ya voda kuwa line ya superkasi?
Supakasi internet unapata speed ya internet ila line unaeza ifanya iwe kwenye Kasi internet ambayo wapata na free MiFi Kwa malipo ya post paid ya 50k
 
VODACOM BUSINESS HOME USERS &OFFICE

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
20 LTE 20Mbps 115,000/=Tu kila mwezi

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
30 LTE 30Mbps 165,000/=Tu kila mwezi

For more information
Please check me [emoji338]0744355811
 
Mh kwangu cha 10k kilikuwa kinakaa hadi mwezi mzima ila nilikuwa napunguziwa speed nitajaribu pengine wamebadilisha sijakitumia mda hapa napo kaa kuna Fiber speed 10MB/s sawa ya 80Mbps ngoja siku nta test ntakupa majb
 
Nataka nijitoe kwanza ila TTCL ndio siwaelewi wananiletea huduma lini.
Hao Ttcl nishawakatia tamaa na sidhani kama wataniwekea hiyo fiber yao ,mwezi wa pili huu tangu nijaze fomu lakini hata surveyor sijamuona. Najipanga nichukue Supakasi maana 120k each month sio mchezo Mkuu [emoji38]
 
Inasemekana wanaojiunga kuanzia leo bando za Postpaid tigo wamezipunguza....

Yalikuwa madai ya mtoa huduma Monday wakati najiunga.

Leo mapema tu wameshanitumbukizia 65GB zangu naendelea kula maisha.
 
Inasemekana wanaojiunga kuanzia leo bando za Postpaid tigo wamezipunguza....

Yalikuwa madai ya mtoa huduma Monday wakati najiunga.

Leo mapema tu wameshanitumbukizia 65GB zangu naendelea kula maisha.
Kwa shillingi ngapi?
 
Hao Ttcl nishawakatia tamaa na sidhani kama wataniwekea hiyo fiber yao ,mwezi wa pili huu tangu nijaze fomu lakini hata surveyor sijamuona. Najipanga nichukue Supakasi maana 120k each month sio mchezo Mkuu [emoji38]
Karibu upate supakasi chap tu ndan ya wiki tayari kwann usumbuke boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…