Internet za post paid ni bei chee lakini hakikisha ukiacha kuitumia unatuma barua ya kusitisha lasivyo utadaiwa pesa kwa miezi ambayo hukulipia

Tigo hawana unlimited ukitaka unlimited labda waje wakufungie ki dish flan hv ila ni gharama sana na mara nying hua naona vipo kwenye taasisi mfano hospitali wanalipa 900,000/= na unlimited kwel nikaona na zantel wanalipa 600,000/= ni unlimited kwel

Unlimited ipo vodacom kuna kitu wanaitwa super kasi zipo super kas za aina mbil

1. kuna super kas yakufungiwa kifaa maaluum then kuna router fresh kwenye kulipa hawatak janja janja usipo lipa unalimbikiza deni na watataka ulipe Gharama ni 115k unapata 2.5MB/s ambayo ni sawa na 20Mbps na 165k
ambayo ni 4MB/s sawa na 30Mbps

2. Aina ya Pili ya super kasi wanakuunganisha na lain yako moja kwa moja hii njia itakuhitaj kusajil lain mpya ya vodacom au kama una lain ya vodacom kuanzia mwaka huu itakubal ukibonya menu yao ya voda ile menu ya kawaida namba 6 ukakuta imeandikwa kasi wenye lain za vodacom za zaman hiyo menu hawana hapo walipo andika kasi ndo unatakiwa ujiunge naipenda hii huduma kwanza unatembea na sim mda wote lain yako unayo unahama kama unavotaka sasa kule ukijiunga kifurush mfano 50k unapata 28GB hzio GB zikiisha unapunguziwa speed had 300kb/s ila utatumia mwez mzima free kwa speed hiyo ndogo kina nisave sana hua najiunga 10k napata 3GB zikiisha bado nakua na internet ilayene kimited speed ya 200kb/s had 300kb/s hapo nachat vzr whatsapp insta naangalia na movie netflix vzr kabisa hapo chaguo ni lakoView attachment 2335889
View attachment 2335891
Mimi ninayo hiyo ya sim card, kipindi hiko ilikuwa gb 37 lakini wanapunguza gb kila leo, kiasi kiko poa maana tunatumia watu wawili kwa mwezi mzima bila shida yoyote.
 
Tigo hawana unlimited ukitaka unlimited labda waje wakufungie ki dish flan hv ila ni gharama sana na mara nying hua naona vipo kwenye taasisi mfano hospitali wanalipa 900,000/= na unlimited kwel nikaona na zantel wanalipa 600,000/= ni unlimited kwel

Unlimited ipo vodacom kuna kitu wanaitwa super kasi zipo super kas za aina mbil

1. kuna super kas yakufungiwa kifaa maaluum then kuna router fresh kwenye kulipa hawatak janja janja usipo lipa unalimbikiza deni na watataka ulipe Gharama ni 115k unapata 2.5MB/s ambayo ni sawa na 20Mbps na 165k
ambayo ni 4MB/s sawa na 30Mbps

2. Aina ya Pili ya super kasi wanakuunganisha na lain yako moja kwa moja hii njia itakuhitaj kusajil lain mpya ya vodacom au kama una lain ya vodacom kuanzia mwaka huu itakubal ukibonya menu yao ya voda ile menu ya kawaida namba 6 ukakuta imeandikwa kasi wenye lain za vodacom za zaman hiyo menu hawana hapo walipo andika kasi ndo unatakiwa ujiunge naipenda hii huduma kwanza unatembea na sim mda wote lain yako unayo unahama kama unavotaka sasa kule ukijiunga kifurush mfano 50k unapata 28GB hzio GB zikiisha unapunguziwa speed had 300kb/s ila utatumia mwez mzima free kwa speed hiyo ndogo kina nisave sana hua najiunga 10k napata 3GB zikiisha bado nakua na internet ilayene kimited speed ya 200kb/s had 300kb/s hapo nachat vzr whatsapp insta naangalia na movie netflix vzr kabisa hapo chaguo ni lakoView attachment 2335889
View attachment 2335891
Naweza kuifanya line yangu ya voda kuwa line ya superkasi?
 
Supakasi internet unapata speed ya internet ila line unaeza ifanya iwe kwenye Kasi internet ambayo wapata na free MiFi Kwa malipo ya post paid ya 50k
 
VODACOM BUSINESS HOME USERS &OFFICE

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
20 LTE 20Mbps 115,000/=Tu kila mwezi

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
30 LTE 30Mbps 165,000/=Tu kila mwezi

For more information
Please check me [emoji338]0744355811
 
Mkuu naomba ufafanuzi nmeenda kweny vodadesck hapa Jirani mtaan kwangu sa sio vodashop kamili ni hawa wa mtaani amesema kuwa hiko cha 20k na 10k gb zikiisha net inakata ila cha 50k ndo hakikati hata gb zikiisha unapunguziwa speed tu ila net unaendelea kupata kama kawa sasa nawe umesema hata cha 10k na 20k unapata net hata zikiisha gb nachanganyikiwa hii ikoje hasa mkuu pia nitaomba namba ya mtu wa vodashop anaeweza kuunga hii kitu

Mh kwangu cha 10k kilikuwa kinakaa hadi mwezi mzima ila nilikuwa napunguziwa speed nitajaribu pengine wamebadilisha sijakitumia mda hapa napo kaa kuna Fiber speed 10MB/s sawa ya 80Mbps ngoja siku nta test ntakupa majb
 
Nataka nijitoe kwanza ila TTCL ndio siwaelewi wananiletea huduma lini.
Hao Ttcl nishawakatia tamaa na sidhani kama wataniwekea hiyo fiber yao ,mwezi wa pili huu tangu nijaze fomu lakini hata surveyor sijamuona. Najipanga nichukue Supakasi maana 120k each month sio mchezo Mkuu [emoji38]
 
Inasemekana wanaojiunga kuanzia leo bando za Postpaid tigo wamezipunguza....

Yalikuwa madai ya mtoa huduma Monday wakati najiunga.

Leo mapema tu wameshanitumbukizia 65GB zangu naendelea kula maisha.
 
Kwa shillingi ngapi?
 
Hao Ttcl nishawakatia tamaa na sidhani kama wataniwekea hiyo fiber yao ,mwezi wa pili huu tangu nijaze fomu lakini hata surveyor sijamuona. Najipanga nichukue Supakasi maana 120k each month sio mchezo Mkuu [emoji38]
Karibu upate supakasi chap tu ndan ya wiki tayari kwann usumbuke boss
 
Back
Top Bottom