Internship (Manamba) mashambani Israel?

Hakuna mtu kapelekwa kwa nguvu sijui kinacho wauma nyie ni nini
 
Labda Kilimanjaro tu, Arusha wamasai na shule wapi na wapi?
 
Intership na nafasi nyingi nazo ni connection labda kama wanafanyisha interview wenyewe ila kama wasimamizi ni wabongo hamna kitu ..

Ishu ipo wazi kila kona huo ujinga upo usije na ujinga wa ukanda wako ,chuo kina watu mchanganyiko sasa elimu kila acheni ubaguzi wa kijinga mtu akifa mnataka huruma ya watanzania wote ,pelekeni huo msib huko kwenu kama mnaleta ubaguzi.
 
Kule wanajifunza kufanya kilimo Kwa vitendo ndio maana wanapewa diploma. Israel ipo advanced kwenye masuala ya kilimo. Wanazalisha chakula kingi na kusambaza duniani. Halafu wanaoenda kule sio watanzania tuu hata watu kutoka mataifa mengine wanaoenda. Kuna jamaa mmoja tulikuepo shortcourse Thailand anatokea Timor Leste alienda israel kwenye mafunzo. Halafu kule wanapokea mkwanja mrefu Sana . Wanarudi na chochote kile Tanzania

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Ooh ok. Huko Mbarali wanarudi Maiti? Jambo hili linasikirisha. Wabunge waunde tume
Miaka yote waliokuwa wakienda wamerudi maiti?au kuwa watu wa kaskazini Ndio nongwa?
Kwani Hao Hamas walishambulia kambi ya jeshi au raia?
 
Hoja ya mtoa mada ijibiwe kwamba mbona wote wanaoenda kule wanatoka Kanda ya Kaskazini tu ? Au kwa sababu Waziri wa elimu anatoka Kanda hiyo ?
Kilimo cha mbogamboga kinalimwa Sana kaakazini
 
Interniship - utarajali
Intern - tarajali
Apprenticeship - uanagenzi
apprentice - mwanagenzi

Indentured workers/ labourers - Manamba

Wanaoenda Israel kwenye huo mpango sidhani kama ni manamba.


 
Hii suala watu wa sua waulizwe,wanaujua ukweli kuwa wale vijana wanaenda kukamua maziwa ng'ombe,mbuzi, wala si intership.

Mtu ana degree anaenda huko eti kutawaza mbuzi,kubeba kuku,kufagia mabanda ua wanyama.

Hiyo sugeco kwa sasa ni hadi watu wanalipia kwenda israeli.

Sua hapa wawajibike.
 
Mbona hata huku tunawatumikisha sana mashambani na migodini. Tembelea mbalali huko kwenye mashamba ya mipunga

Kama ni hvyo kuna shida gani wakiwa manamba huko Israel
Kwenye war zone ... Usalama wao mdogo sana ..
 
Dogo hiyo programme ipo zaidi ya miaka minne. Uliishasikia Kila wakienda wanakufa? Imetokea mara moja, tena kitendo cha kigaidi unaleta ngonjera humu? Kwahiyo hutaki waende? Ushamba wa wapi huu!?
Kwanza Hamas ni freedom fighters, sasa wewe unapokwenda na kujiweka upande wa mkandamizaji/ mkoloni utakuwa adui tu haitaji maelezo hiyo
 
Ajali kazini hata ukibaki bongo utakufa kwa msoto.
Bora ukajaribu bahati nje
 
Kwa hiyo wewe unaona ni faida kuwachukua watu wakaskazini, wachanga ni watu wa ovyo , ukabila imewajaa, ndo mana nasema Chadema haifai hata nukta mana inaukabila sana
 
Ivi wewe unawajua wachanga wewe, hawawezi kuunganika ni wabinafsi sana
 
Nasemaje Hamas piga huyo Joshua na wengine walio Baki
 
Wazanzibari hizi fursa hawapewi mnaenda Waz-Kaskazini tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…