Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 1,349
- 3,145
Bashe kaja juzi tu na kakuta hiyo Program ipo toka SUGECO ianzishwe 2011 pale SUA. Wakati huo Bashe alikuwa kwao Somalia anapigana Jihadi na Al Shabaab.Coordinator ni Bashe
Hata la saba wengi tu wameenda sio Sua TU ndio upeleka.Scholarship/internship zina tolewa SUA Kwa wanafunzi wote wenye vigezo ww kama ni darasa la 7B endelea tu kusosola kwa mama kizimkazi
Huu utaratibu wa kupeleka vijana Israel;
1. Nani anaratibu?
2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.
3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.
4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?
Misguided comment...wazanzibari ni hustlers kitambo kabla watanganyika hamjashtuka.Mzanzibari ulimuona wapii akataka maisha ya hustlers njoo uone wanafunzi wa kizanzibar walivyo
Mbona hata huku tunawatumikisha sana mashambani na migodini. Tembelea mbalali huko kwenye mashamba ya mipunga
Kama ni hvyo kuna shida gani wakiwa manamba huko Israel
Kama unahitaji sema maana nafasi zipo za kutosha.Huu utaratibu wa kupeleka vijana Israel;
1. Nani anaratibu?
2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.
3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.
4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?
Hata wewe hapo ulipo unaweza kufa tuOoh ok. Huko Mbarali wanarudi Maiti? Jambo hili linasikirisha. Wabunge waunde tume
Wachana na hao vipofuKwani kusafiri nje ya nchi lazima kuwepo anayeratibu??
Ahahahahhahahahahaha aisee Braza sikufichi, Nimechoka Sana kama Kweli!Dalali wao anaitwa Dr Temu pande za Sua wanakulipia nauli Na Visa ukilipwa wanakukata cost zao
Wanawahadaa vijana wenye Degree ukienda shambani unalipwa na unatoka na Cheti cha Diploma ya Agriculture hivi uwe na Degree then utunukiwe Diploma 😆😆
Kuna kijana mmoja nilimskitikia sana mzazi wake baada ya kuniambia Kijana wake kafanikiwa kwenda Israel kujifunza masuala ya Intelijensia kwa udhamini wa Serikali
Wamekaa kimya maana hii issue kuna mtu au watu walikua wanafanya biashara ya kupatia israel nguvu kazi ya bure sawa 'human traffiking'Huu utaratibu wa kupeleka vijana Israel;
1. Nani anaratibu?
2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.
3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.
4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?
Kama vile unawafahamu😆Hadi ile bandari ambayo wa Tanzania walizoea kwenda kufanya vibarua haipo tena.
Wakati wengine wakipambana kuingia G8 sie tunauza vyanzo vya uchumi.
Mkuu mbona naona ni ngumu ni mtu wa SUA apate connection ya jeshi Israel!Dalali wao anaitwa Dr Temu pande za Sua wanakulipia nauli Na Visa ukilipwa wanakukata cost zao
Wanawahadaa vijana wenye Degree ukienda shambani unalipwa na unatoka na Cheti cha Diploma ya Agriculture hivi uwe na Degree then utunukiwe Diploma 😆😆
Kuna kijana mmoja nilimskitikia sana mzazi wake baada ya kuniambia Kijana wake kafanikiwa kwenda Israel kujifunza masuala ya Intelijensia kwa udhamini wa Serikali
Utatapeliwa ndugu, kutoka SUA mpaka Israel na wewe unaamini kabisanjoo pm tafadhari unipe connection ya jinsi ya kumpata dr Temu, wapo wengi sana wanaohitaji kwenda huko israel mkuu......
Kwanini sisi tukajifunze kilimo jangwani kule? kuna tatizo sehemuBashe kaja juzi tu na kakuta hiyo Program ipo toka SUGECO ianzishwe 2011 pale SUA. Wakati huo Bashe alikuwa kwao Somalia anapigana Jihadi na Al Shabaab.
Sio chuo kimoja tu kinachopeleka vijana Israel kwa ajili ya vitendo. Kuna vyuo hadi vya Dioloma na Certificate vinavyopeleka vijana Israel kujifunza zaidi. Mwaka juzi kuna Chuo cha kilimo Dabaga kule Kilolo Kilioeleka wanafunzi 20 wakakaa Israel mwaka 1 wakijifunza Kilimo na sasa wanalitumikia Taifa.
Wengi ni wachaga na wambulu tu.Ongea unayoyajua mzee Arusha ina wamasai tu? WaPo watu lukuki hapo me siangaliii kabila me naangalia ukimuuliza mtu unaishii wapi anajibu, Arusha na moshi kuna wanafunzi wengi vyuo vikuu kutokea pande hizo
Ni bora Bashe kaanzisha kilimo cha kisasa huko Dodoma...... Pahali pengi wanaweza kwenda na kuchafuka.... Hata wakienda USUKUMANI NA UMASAINI watajifunza na kama ulivyosema kwa bahati mbaya nako watachafuka.Hii nafasi ya kupeleka vijana nje ya nchi kwenye mazingira ya kilimo cha kisasa unamjengea kijana uwezo na uthubutu wa kuwa mkulima au mfugaji bora. Huwezi kuwa mkulima huku ukiogopa kuchafuka! (Yaani mtu anabeza kuosha mbuzi). .......... na ukubali kushiriki kazi za shamba ili uzijue (bahati mbaya lazima uchafuke, unyeshewe na mvua, upigwe na jua nk)! Hapo ukimaliza degree yako utakuwa na confidence ya kuwa