Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 1,349
- 3,145
Bashe kaja juzi tu na kakuta hiyo Program ipo toka SUGECO ianzishwe 2011 pale SUA. Wakati huo Bashe alikuwa kwao Somalia anapigana Jihadi na Al Shabaab.Coordinator ni Bashe
Sio chuo kimoja tu kinachopeleka vijana Israel kwa ajili ya vitendo. Kuna vyuo hadi vya Dioloma na Certificate vinavyopeleka vijana Israel kujifunza zaidi. Mwaka juzi kuna Chuo cha kilimo Dabaga kule Kilolo Kilioeleka wanafunzi 20 wakakaa Israel mwaka 1 wakijifunza Kilimo na sasa wanalitumikia Taifa.