Interpol: Mwenyekiti IEBC alihongwa $3M

Interpol: Mwenyekiti IEBC alihongwa $3M

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Shirika la Polisi wa Kimataifa Interpol limetoa taarifa inayomuanika Mwenyekiti wa Tume Huru na Mipaka ya Uchaguzi Kenya (IEBC) Bwana Wafula Chebukati na makamishna wawili wa tume hiyo kuwa walipokea rushwa ya Dola Milioni Tatu za Kimarrekani ili kuidhinisha kampuni iyakayochapisha karatasi za kupigia kura kwenye Uchaguzi mkuu wa Kenya.

Uchaguzi huo umekamilika baada ya Mwenyekiti wa atume kumtangaza Mshindi huku kukiwa na mgawanyiko baina ya makamishna wa Tume hiyo ambapo Naibu Mwenyekiti na wajumbe wengine 3 wamegima kuyatambua matokeo yaliyotangazwa na Mwenyekiti Chebukati.

Naibu Rais, Mheshimiwa William Ruto alitangazwa Rais Mteule na tume hiyo ya Uchaguzi
IMG-20220817-WA0002.jpg
 
Zinatengenezwa sababu za kupinga matokeo na kuonyesha ushindi wa Ruto sio halali.
MK254 Tony254 Lusungo Maghayo
Na watengezaji wa hizo hoax news ni wabongo hasa yale machawi ya CCM ili ku justify unyani wao wanaofanya hapa. CCM roho inawauma sana kwa yaliyotokea Kenya maana wamedhihirika wao ni Nyani kwa hii NEC yao.
 
Shirika la Polisi wa Kimataifa Interpol limetoa taarifa inayomuanika Mwenyekiti wa Tume Huru na Mipaka ya Uchaguzi Kenya (IEBC) Bwana Wafula Chebukati na makamishna wawili wa tume hiyo kuwa walipokea rushwa ya Dola Milioni Tatu za Kimarrekani ili kuidhinisha kampuni iyakayochapisha karatasi za kupigia kura kwenye Uchaguzi mkuu wa Kenya.

Uchaguzi huo umekamilika baada ya Mwenyekiti wa atume kumtangaza Mshindi huku kukiwa na mgawanyiko baina ya makamishna wa Tume hiyo ambapo Naibu Mwenyekiti na wajumbe wengine 3 wamegima kuyatambua matokeo yaliyotangazwa na Mwenyekiti Chebukati.

Naibu Rais, Mheshimiwa William Ruto alitangazwa Rais Mteule na tume hiyo ya UchaguziView attachment 2325908
Hii imeshakanushwa nyie manyani hebu kuweni na aibu
 
Marekani wLikuwa wanataka Raila ashinde sasa hii ya interpol ni sehemu ya mikakati hiyo sio coincidence. Tutasikia mengi ili mradi mtu wao ameshindwa uchaguzi. Hao intepol tangu lini wamekuwa wakitoa taarifa za rushwa zinazohusu viongozi? Mbona huku Tanzania ambako rushwa inaliwa waziwazi lakini gawajahi kutoa taarifa kuhusu vigogo wa rushwa wa mikataba na manunuzi makubwa.
 
Marekani wLikuwa wanataka Raila ashinde sasa hii ya interpol ni sehemu ya mikakati hiyo sio coincidence. Tutasikia mengi ili mradi mtu wao ameshindwa uchaguzi. Hao intepol tangu lini wamekuwa wakitoa taarifa za rushwa zinazohusu viongozi? Mbona huku Tanzania ambako rushwa inaliwa waziwazi lakini gawajahi kutoa taarifa kuhusu vigogo wa rushwa wa miktaba na manunuzi makubwa.
 
Ndio Biden alivyokwambia!!???
 
Kwa hisani ya kupooza hisia za 48.85%
Ruto S. William (president elect)
 
Marekani wLikuwa wanataka Raila ashinde sasa hii ya interpol ni sehemu ya mikakati hiyo sio coincidence. Tutasikia mengi ili mradi mtu wao ameshindwa uchaguzi. Hao intepol tangu lini wamekuwa wakitoa taarifa za rushwa zinazohusu viongozi? Mbona huku Tanzania ambako rushwa inaliwa waziwazi lakini gawajahi kutoa taarifa kuhusu vigogo wa rushwa wa mikataba na manunuzi makubwa.
Kwa uthibitisho upi?
 
Back
Top Bottom