Interpol: Mwenyekiti IEBC alihongwa $3M

Interpol: Mwenyekiti IEBC alihongwa $3M

Na watengezaji wa hizo hoax news ni wabongo hasa yale machawi ya CCM ili ku justify unyani wao wanaofanya hapa. CCM roho inawauma sana kwa yaliyotokea Kenya maana wamedhihirika wao ni Nyani kwa hii NEC yao.
Wewe ni mpuuzi, huoni Ruto alikuwa madarakani?
 
Shirika la Polisi wa Kimataifa Interpol limetoa taarifa inayomuanika Mwenyekiti wa Tume Huru na Mipaka ya Uchaguzi Kenya (IEBC) Bwana Wafula Chebukati na makamishna wawili wa tume hiyo kuwa walipokea rushwa ya Dola Milioni Tatu za Kimarrekani ili kuidhinisha kampuni iyakayochapisha karatasi za kupigia kura kwenye Uchaguzi mkuu wa Kenya.

Uchaguzi huo umekamilika baada ya Mwenyekiti wa atume kumtangaza Mshindi huku kukiwa na mgawanyiko baina ya makamishna wa Tume hiyo ambapo Naibu Mwenyekiti na wajumbe wengine 3 wamegima kuyatambua matokeo yaliyotangazwa na Mwenyekiti Chebukati.

Naibu Rais, Mheshimiwa William Ruto alitangazwa Rais Mteule na tume hiyo ya UchaguziView attachment 2325908
Fake

Fake

Fake...!! Dr. Ruto ni Rais, period
 
Watuache, mbona uchakachuzi wa uchaguzi wa marekani walikaa kimya. Na figisu anazofanyiwa Trump wamefumba macho.
 
Shirika la Polisi wa Kimataifa Interpol limetoa taarifa inayomuanika Mwenyekiti wa Tume Huru na Mipaka ya Uchaguzi Kenya (IEBC) Bwana Wafula Chebukati na makamishna wawili wa tume hiyo kuwa walipokea rushwa ya Dola Milioni Tatu za Kimarrekani ili kuidhinisha kampuni iyakayochapisha karatasi za kupigia kura kwenye Uchaguzi mkuu wa Kenya.

Uchaguzi huo umekamilika baada ya Mwenyekiti wa atume kumtangaza Mshindi huku kukiwa na mgawanyiko baina ya makamishna wa Tume hiyo ambapo Naibu Mwenyekiti na wajumbe wengine 3 wamegima kuyatambua matokeo yaliyotangazwa na Mwenyekiti Chebukati.

Naibu Rais, Mheshimiwa William Ruto alitangazwa Rais Mteule na tume hiyo ya UchaguziView attachment 2325908
Kwa nini hawakutoa taarifa hii mapema wakati makaratasi hayo yalichapishwa miezi mingi iliyopita? Nahisi hao Interpool ndio wamehongwa ili kumchafua Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi!!
 
Matokeo ya Urais yalikuwa wazi kuwa Ruto alikuwa mshindi.
Ila nina wasiwasi na ushindi wa moja kwa moja wa William Ruto. Nadhani kulikuwa na kulazimika kuwepo kwa duru ya pili ya uchaguzi.
 
Kwa doa hili tuna amini mwenyekiti hana uadilifu tena na hafai

Yawezekana baadae ushahidi ukatolewa wa rushwa nyingine ya kupindua matokeo

Ila hata mimi siwezi acha hela aseeh
Matokeo ya uchaguzi Kenya yalikuwa yanatangazwa wazi kabisa, kama ilivyo kamari ya kubeti mpira wa miguu.
Kwahiyo, hakuna wasiwasi kwa event ambayo ilikuwa observed na wote waliokuwa wanafuatilia uchaguzi huo ikiwemo mawakala wa wagombea( nadhani, tatizo lilianzia pale kwenye kuhakiki kura za Urais).
By the way, kama zile karatasi za urais zipo basi zitahesabiwa tena ili kubaini ukweli.
( Kwa ujumla, binadamu yeyote haaminiki hasa kunapokuwa interest fulani).
 
Huu ndio ukweli Ruto kampiga Raila ground, Ruto aapishwe maisha yaendelee kama kawaida maana tume ilikua wazi kiasi hata kipofu hawezi kusema chochote na wanataka kutia doa uchaguzi uliokua wa mfano Afrika nzima, na upande wa Raila wangejua wanaharibu sifa nzuri ambayo kila mtu kaiona kwa macho yake juu ya Kenya ya katiba mpya
Huyo bwana Ruto ataishia kwenye status ya 'president elect' baas baada ya hapo atarudisha kiti kwa wenyewe
 
Ebwana kumbe ni kweli baadhi ya vpn zinawezesha kutumia Internet bila ya bando [emoji1787][emoji1787]kama hapa sina bando ila nipo JF.
 
Back
Top Bottom