Wewe ni mpuuzi, huoni Ruto alikuwa madarakani?Na watengezaji wa hizo hoax news ni wabongo hasa yale machawi ya CCM ili ku justify unyani wao wanaofanya hapa. CCM roho inawauma sana kwa yaliyotokea Kenya maana wamedhihirika wao ni Nyani kwa hii NEC yao.
Unanifwata fwata sana silagi machoko aisee, uchafu peleka huko huko CCM kwa wachawi wenzio.Wewe ni mpuuzi, huoni Ruto alikuwa madarakani?
Mbuzi anakula urefu wa kamba yake, maadamu asivimbiweHii haiusiani na issue ya matokeo ya urais
FakeShirika la Polisi wa Kimataifa Interpol limetoa taarifa inayomuanika Mwenyekiti wa Tume Huru na Mipaka ya Uchaguzi Kenya (IEBC) Bwana Wafula Chebukati na makamishna wawili wa tume hiyo kuwa walipokea rushwa ya Dola Milioni Tatu za Kimarrekani ili kuidhinisha kampuni iyakayochapisha karatasi za kupigia kura kwenye Uchaguzi mkuu wa Kenya.
Uchaguzi huo umekamilika baada ya Mwenyekiti wa atume kumtangaza Mshindi huku kukiwa na mgawanyiko baina ya makamishna wa Tume hiyo ambapo Naibu Mwenyekiti na wajumbe wengine 3 wamegima kuyatambua matokeo yaliyotangazwa na Mwenyekiti Chebukati.
Naibu Rais, Mheshimiwa William Ruto alitangazwa Rais Mteule na tume hiyo ya UchaguziView attachment 2325908
Shirika la Polisi wa Kimataifa Interpol limetoa taarifa inayomuanika Mwenyekiti wa Tume Huru na Mipaka ya Uchaguzi Kenya (IEBC) Bwana Wafula Chebukati na makamishna wawili wa tume hiyo kuwa walipokea rushwa ya Dola Milioni Tatu za Kimarrekani ili kuidhinisha kampuni iyakayochapisha karatasi za kupigia kura kwenye Uchaguzi mkuu wa Kenya.
Uchaguzi huo umekamilika baada ya Mwenyekiti wa atume kumtangaza Mshindi huku kukiwa na mgawanyiko baina ya makamishna wa Tume hiyo ambapo Naibu Mwenyekiti na wajumbe wengine 3 wamegima kuyatambua matokeo yaliyotangazwa na Mwenyekiti Chebukati.
Naibu Rais, Mheshimiwa William Ruto alitangazwa Rais Mteule na tume hiyo ya UchaguziView attachment 2325908
Uhusiano ni Mkubwa sana inawezekana kuna karatasi ziliandaliwa baadae na hiyo Kampuni zikiwa zimewekewa TickHii haiusiani na issue ya matokeo ya urais
Kwa nini hawakutoa taarifa hii mapema wakati makaratasi hayo yalichapishwa miezi mingi iliyopita? Nahisi hao Interpool ndio wamehongwa ili kumchafua Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi!!Shirika la Polisi wa Kimataifa Interpol limetoa taarifa inayomuanika Mwenyekiti wa Tume Huru na Mipaka ya Uchaguzi Kenya (IEBC) Bwana Wafula Chebukati na makamishna wawili wa tume hiyo kuwa walipokea rushwa ya Dola Milioni Tatu za Kimarrekani ili kuidhinisha kampuni iyakayochapisha karatasi za kupigia kura kwenye Uchaguzi mkuu wa Kenya.
Uchaguzi huo umekamilika baada ya Mwenyekiti wa atume kumtangaza Mshindi huku kukiwa na mgawanyiko baina ya makamishna wa Tume hiyo ambapo Naibu Mwenyekiti na wajumbe wengine 3 wamegima kuyatambua matokeo yaliyotangazwa na Mwenyekiti Chebukati.
Naibu Rais, Mheshimiwa William Ruto alitangazwa Rais Mteule na tume hiyo ya UchaguziView attachment 2325908
Matokeo ya uchaguzi Kenya yalikuwa yanatangazwa wazi kabisa, kama ilivyo kamari ya kubeti mpira wa miguu.Kwa doa hili tuna amini mwenyekiti hana uadilifu tena na hafai
Yawezekana baadae ushahidi ukatolewa wa rushwa nyingine ya kupindua matokeo
Ila hata mimi siwezi acha hela aseeh
Upo shalo sana kwenye uelewaIlo kosa halijaenda kwenye mzizi wa hoja husika.
Huyo bwana Ruto ataishia kwenye status ya 'president elect' baas baada ya hapo atarudisha kiti kwa wenyeweHuu ndio ukweli Ruto kampiga Raila ground, Ruto aapishwe maisha yaendelee kama kawaida maana tume ilikua wazi kiasi hata kipofu hawezi kusema chochote na wanataka kutia doa uchaguzi uliokua wa mfano Afrika nzima, na upande wa Raila wangejua wanaharibu sifa nzuri ambayo kila mtu kaiona kwa macho yake juu ya Kenya ya katiba mpya
Ruto ndiye Rais. Over
Hayo ni maoni yako...Upo shalo sana kwenye uelewa