Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Hao nao wameniandikia "unfortunately" zaidi ya Mara tatus
so poa.kuna hawa wana jiita Danish refugee council kila feedback yao ni hio hata internship tu hutoboi. We regret to inform you that braah braah aiseeh hii nchi ngumu balaa
Truemhhh unaweza ukafanya vyoe hivyo na usipate 😦
Watu kama nyinyi mnahitajika sana ili vijana wetu wasifanye makosa.USIPOZINGATIA HAYA, UTAISHIA KU-APPLY KAZI BILA KUITWA KWENYE INTERVIEW
Vijana wengi sana Wahitimu wa vyuo wamejikuta katika janga la kuishia ku-apply kazi bila kuitwa kwenye Interview. Kwa miaka kadhaa nimekuwa kwenye Managerial Level katika taasisi ninazofanyia kazi. Na katika recruitments kashaa nilizozifanya kuajiri, nimekutana na changamoto nyingi sana kwenye applications za kazi zinazowafanya watu wengi kutokuwa shortlisted kuitwa kwenye Interview.
Tuko katika ulimwengu wa Utandawazi ambapo mfumo wa kuomba kazi Serikalini, Taasisi mbalimbali, na Sekta binafsi ni kwa njia ya Online (Online Job Application). Nimebaini Graduates wengi hawana Job Application & Employability Skills kuwawezesha kuwa shortlisted tu. Na shida kuwa nadhani ipo kwenye mfumo wetu wa Elimu ambapo hauendani na mahitaji ya sasa, kumfanya mtu ahitimu masomo akiwa na uwezo na maarifa flani ya ziada ya kumsaidia.
Sasa Leo, nitagusia vituvichache tu ambavyo watu wengi wamekuwa hawavizingatii pindi wanapoomba kazi Online. Kazi yoyote ile ambayo Application yake ni Online (kama vile kutuma kwa njia ya barua pepe), Interview ya kazi inaanzia;
1. How you arranged your CV
2. How you drafted your Application/Cover Letter
3. How do you send your Application
1. Application Letter - Application yoyote ya kazi, Application /Cover Letter ni muhimu, hata usipoambiwa utume. Labda kama itakuwa imeelekezwa vingine.
2. Unapotuma Application kwa njia ya Email (barua pepe)
(a). Letter Heading - Kwenye barua lazima utaje exactly position unayoomba kama ilivyoelekezwa kwenye tangazo la kazi. Maana wakati mwingine Taasisi au kampuni hiyo wanaweza kuwa wametangaza nafasi za kazi za position tofauti tofauti.
(b). Kwenye Email Subject: You have to mention exactly the position unayoomba kama ilivyoelekezwa kwenye tangazo la kazi na inatakiwa kuandikwa kwa herufi KUBWA - APPLICATION FOR CALL CENTER AGENT.
(c). Documents zako (CV & Letter) attachment zinatakiwa kuwa na Majina yako - Kongwa Dodoma Tanzania
(d).Kwenye email body, lazima uandike chochote, not just sending it plain. Mfano:
Hi Sir/Madam;
As per the subject, Kindly receive the attached CV and application later for your perusal/reference.
Thank You.
3. Kwa ujumla, wengi wanakosa kazi kwa kutozingatia hivo vitu muhimusana. Yafuatayo ni moja ya hayo mambo yatakayokufanya application yako itupiliwe mbali, na hutakaa uje kuitwa kwenye interview kama hutoyazingatia.
(a). Kutuma Application kwa ku-forward email
(b). Kutoandika subject kwenye email yako
(c). Kusahau ku attach relevant documents kama ilivyoelekezwa kwenye tangazo la kazi
(d). Ku resend Email Application mbapo unakuta ulisahauku. Kama ulisahau ku attach documents, ni bora kutuma email mpya
NOTE: Kutokana na janga la ukosefu wa ajira, waajiri huwa wanapokea applications nyingi sana kiasi kwamba sio rahisi wakapitia applications zote katika zoezi la shortlisting. Hivyo, njia pekee wanayoitumia ni kutufa applications zote ambazo hazijazingatia professional application format na kubakiza zile ambazo ziko in good format, ndipo sasa waanze kuchambua nani ana sifa tunazozitaka.
Hivyo, unaweza kukuta una sifa zinazotakiwa, lakini kwakuwa hukufuata a professional appliaction format, application yako inatupiliwa mbali na unakosa kazi ambayo huenda wewe ndio ulikuwa candidate sahihi unayetakiwa.
Ni hayo tu kwa Leo. By professional I Am not an HR, hivyo I stand to be corrected na kuruhusu professionals wengine kuongeza mchango wako katika haya machache niliyoyagusia.
Asanteni sana.
Haya mazingatio ni kwa private sekta tu, labda na taasisi zinazo recrute zenyewe.USIPOZINGATIA HAYA, UTAISHIA KU-APPLY KAZI BILA KUITWA KWENYE INTERVIEW

Nakubali nakubali kabisa kwenye hiloAsante kwa taarifa mkuu
Ila nyongeza ya mwisho usiache kutafuta “connections”
Asante sana kwa comment yako.Watu kama nyinyi mnahitajika sana ili vijana wetu wasifanye makosa.
Hongera sana.
Nimefaya yote uliyosema kwa usahihi. Nimetuma barua zaidi ya 500, feedback chache Ninazopata, paragraph ya pili inaanza na neno UNFORTUNATELY
Asante sana.Maelezo mazuri sana, mwenye macho haambiwi tazama, kunywa soda sehemu ulipo 😂
Kwa uzoefu wangu, kuweka picha sikushauri sana.Vipi kuweka picha kwenye CV...inashauriwa?
Hi 5Struggle is real
One day Yes
Aiseee, Sio poa kabisa. Pole sana Mkuu.s
so poa.kuna hawa wana jiita Danish refugee council kila feedback yao ni hio hata internship tu hutoboi. We regret to inform you that braah braah aiseeh hii nchi ngumu balaa
Perfect Mkuu, Nakubali.Upo Sahihi kabisa mkuu.
Na kingine ningependa kuongeza, Mtu unatakiwa Kusoma Job description ya Tangazo la kazi na wewe uweke kwenye CV yako kuwa ndio vitu ulikuwa unafanya kwenye previous job ,
Hii inasaidia mwajiri kuvutiwa na ww kuwa ndio mtu anayemtafuta
Umeandika ukweli mtu nilitakan kukupuuza ila nimesoma umepita mlemle goodUSIPOZINGATIA HAYA, UTAISHIA KU-APPLY KAZI BILA KUITWA KWENYE INTERVIEW
Vijana wengi sana Wahitimu wa vyuo wamejikuta katika janga la kuishia ku-apply kazi bila kuitwa kwenye Interview. Kwa miaka kadhaa nimekuwa kwenye Managerial Level katika taasisi ninazofanyia kazi. Na katika recruitments kashaa nilizozifanya kuajiri, nimekutana na changamoto nyingi sana kwenye applications za kazi zinazowafanya watu wengi kutokuwa shortlisted kuitwa kwenye Interview.
Tuko katika ulimwengu wa Utandawazi ambapo mfumo wa kuomba kazi Serikalini, Taasisi mbalimbali, na Sekta binafsi ni kwa njia ya Online (Online Job Application). Nimebaini Graduates wengi hawana Job Application & Employability Skills kuwawezesha kuwa shortlisted tu. Na shida kuwa nadhani ipo kwenye mfumo wetu wa Elimu ambapo hauendani na mahitaji ya sasa, kumfanya mtu ahitimu masomo akiwa na uwezo na maarifa flani ya ziada ya kumsaidia.
Sasa Leo, nitagusia vituvichache tu ambavyo watu wengi wamekuwa hawavizingatii pindi wanapoomba kazi Online. Kazi yoyote ile ambayo Application yake ni Online (kama vile kutuma kwa njia ya barua pepe), Interview ya kazi inaanzia;
1. How you arranged your CV
2. How you drafted your Application/Cover Letter
3. How do you send your Application
1. Application Letter - Application yoyote ya kazi, Application /Cover Letter ni muhimu, hata usipoambiwa utume. Labda kama itakuwa imeelekezwa vingine.
2. Unapotuma Application kwa njia ya Email (barua pepe)
(a). Letter Heading - Kwenye barua lazima utaje exactly position unayoomba kama ilivyoelekezwa kwenye tangazo la kazi. Maana wakati mwingine Taasisi au kampuni hiyo wanaweza kuwa wametangaza nafasi za kazi za position tofauti tofauti.
(b). Kwenye Email Subject: You have to mention exactly the position unayoomba kama ilivyoelekezwa kwenye tangazo la kazi na inatakiwa kuandikwa kwa herufi KUBWA - APPLICATION FOR CALL CENTER AGENT.
(c). Documents zako (CV & Letter) attachment zinatakiwa kuwa na Majina yako - Kongwa Dodoma Tanzania
(d).Kwenye email body, lazima uandike chochote, not just sending it plain. Mfano:
Hi Sir/Madam;
As per the subject, Kindly receive the attached CV and application later for your perusal/reference.
Thank You.
3. Kwa ujumla, wengi wanakosa kazi kwa kutozingatia hivo vitu muhimusana. Yafuatayo ni moja ya hayo mambo yatakayokufanya application yako itupiliwe mbali, na hutakaa uje kuitwa kwenye interview kama hutoyazingatia.
(a). Kutuma Application kwa ku-forward email
(b). Kutoandika subject kwenye email yako
(c). Kusahau ku attach relevant documents kama ilivyoelekezwa kwenye tangazo la kazi
(d). Ku resend Email Application mbapo unakuta ulisahauku. Kama ulisahau ku attach documents, ni bora kutuma email mpya
NOTE: Kutokana na janga la ukosefu wa ajira, waajiri huwa wanapokea applications nyingi sana kiasi kwamba sio rahisi wakapitia applications zote katika zoezi la shortlisting. Hivyo, njia pekee wanayoitumia ni kutufa applications zote ambazo hazijazingatia professional application format na kubakiza zile ambazo ziko in good format, ndipo sasa waanze kuchambua nani ana sifa tunazozitaka.
Hivyo, unaweza kukuta una sifa zinazotakiwa, lakini kwakuwa hukufuata a professional appliaction format, application yako inatupiliwa mbali na unakosa kazi ambayo huenda wewe ndio ulikuwa candidate sahihi unayetakiwa.
Ni hayo tu kwa Leo. By professional I Am not an HR, hivyo I stand to be corrected na kuruhusu professionals wengine kuongeza mchango wako katika haya machache niliyoyagusia.
Asanteni sana.
Asante sana Mkuu.Umeandika ukweli mtu nilitakan kukupuuza ila nimesoma umepita mlemle good
Pole sana MkuuTumeandika sana lakini wapi