Interview na bibie mumu

Hapana kwakweli sipo tayari, love is love and money is money,.nude huwa nachungulia tuu[emoji12]
Kama nakuona unavyokodoleaga porno
Kwanini huwa mnawashusha sana wanaume Wa jf!
Unawachukuliaje wadada wanaotafuta waume humu!
Ulishatongozwa pm?

DJ sepetu
 
Kama nakuona unavyokodoleaga porno
Kwanini huwa mnawashusha sana wanaume Wa jf!
Unawachukuliaje wadada wanaotafuta waume humu!
Ulishatongozwa pm?

DJ sepetu
Yeap PM as usual,wanaume wa Jf kuna wanaojielewa na kujua wanafanya nn na kuna wale wengine bora tuu na yy ana account Jf baaasi lakini hana mchango wowote wa maana ni upuuzi tuu muda wote,kwa wadada wanaotafuta waume humu siwasemi vibaya kwasababu Jf nayo ni jamii kama vile mtaani,ofisini au popote pale ambapo mtu anaweza kupata mume/mpenzi ila tuu wawe makini kwani si wote wapo serious na kile unachosema.
 
Ingekuwa vyema ungewataja wasiojielewa[emoji23] [emoji23]
Kwanini wanawake hujiandaa kwa sherehe ya ndoa kuliko ndoa!?
Ungependa mumeo akukumbuke kwa lip siku ya 1 honeymoon?

DJ sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…