Interview na bibie mumu

Nadeka kidogo muosha rungu,.nakumbuka niliwahi kumeza hela sh.100[emoji41] sijawahi pigwa ile serious nilikuwa naguswa guswa tuu
Hahaaa hiyo hela ilitokaje[emoji23] [emoji23]
Mumu yukoje kimuonekano Wa nje
Kipi ni unique

DJ sepetu
 
Hahaaa hiyo hela ilitokaje[emoji23] [emoji23]
Mumu yukoje kimuonekano Wa nje
Kipi ni unique

DJ sepetu
Hahaa ilitoka kwa ku pupu tuu[emoji13] [emoji13] tena baada ya kuitoa nakumbuka mama aliisafisha na kunipa akaniambia itunze iwe kumbukumbu yako,.lakini hata nusu SAA sikuweza kuiweka nilienda kununua lambalamba
 
Unapenda kulamba lamba mmmh!
Marafiki zako wanakuzungumziaje
Mumu yupoje kitabia!
Je ndivyo ulivyo au una pretend tu!

DJ sepetu
 
mumu....ukiwa kama kijana umeathirika /umenufaika vp na huu mfumo (awamu ya tano ) nn maoni yako ?

lini ulianza kuitumia jf? ni jukwaa gan linakuvutia , ?

kama mwanamke ni changamoto gan unayokutana nayo jf ? matapel...mtongozo n.k

kwa umri wako huo...ulishawah kumiliki kias gan cha fedha ambacho ni kikubwa ? ulizipataje ? ulizifanyia nn ?

single moms wanasakamwa sana hapa.....je kama mwanamke unalichukuliaje hili ?

ulisex for the 1st time ukiwa na umri gan...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapenda kulamba lamba mmmh!
Marafiki zako wanakuzungumziaje
Mumu yupoje kitabia!
Je ndivyo ulivyo au una pretend tu!

DJ sepetu
Mimi ni mcheshi,talkative, nina huruma huwa sina ugeni wa muda mrefu nikienda mahali ni mtu ninayeelewa mazingira kwa muda mfupi na kujua ni namna gani ya kuishi kutokana na mazingira niliyopo kwa wakati huo..lakini pia nikiudhiwa nachukia haraka sana na siwezi kuficha hisia zangu ninapokuwa nimekwazwa.si PRETEND hata siku moja naishi kiuhalisia na hali yangu.....
 
OK!
Ulivunja ungo ukiwa darsa la ngapi
Uliyapokeaje hayo mabadiliko
Boyfriend wako Wa kwanza alikubikiri ukiwa Na miaka mingapi

DJ sepetu
 
OK!
Ulivunja ungo ukiwa darsa la ngapi
Uliyapokeaje hayo mabadiliko
Boyfriend wako Wa kwanza alikubikiri ukiwa Na miaka mingapi

DJ sepetu
Nilivunja ungo nikiwa form one,.kwakweli niliyapokea kwa furaha kwani rafiki zangu wengi walikuwa tayari tangu primary kwahiyo mm nilijihisi labda nna shida lakini iliponitokea namm nikajihisi nimetimka sasa

My first boyfriend alinibikiri nilipomaliza kidato cha NNE.
 
Nikiwa na miaka 17
 
Hili swali nasubiri majibu aiseeh.
mumu bado unatype hili swali.
 
Kuanza mapenzi kidato cha NNE oyeeeee!!
Ulichelewa au uliwahi Ku du!
Ulijisikiaje baada ya Ku loose your your virginity

DJ sepetu
Actually, nilijisikia vibaya kwani sikuwa nimepanga iwe hivyo...ilikuwa kama nimebakwa kwani sikuwa nimerdhika na wala ckuwa na mapenzi na huyo bf.[emoji19]
 
Actually, nilijisikia vibaya kwani sikuwa nimepanga iwe hivyo...ilikuwa kama nimebakwa kwani sikuwa nimerdhika na wala ckuwa na mapenzi na huyo bf.[emoji19]
So strange kumvulia kyupi usiyempenda[emoji23] [emoji23]
Ushawahi kumtongoza mwanaume?
Nini hukuongoza kuamua yupi apewe papuchi Na yupi anyimwe
Vigezo l mean

DJ sepetu
 
So strange kumvulia kyupi usiyempenda[emoji23] [emoji23]
Ushawahi kumtongoza mwanaume?
Nini hukuongoza kuamua yupi apewe papuchi Na yupi anyimwe
Vigezo l mean

DJ sepetu
[emoji28] [emoji28] acha tuu ndio hivyo na tangu aitoe sikuwa kumpa tena na sitompa tena...sijawahi kumtongoza mwanaume ila nimewahi kuwatamani na kuvumilia tuu,.daah mpaka nimemvulia chupi mwanaume kuna Kiasi nimemuamini,na najua yuko makini na anajali hisia zangu in case of anything hatokubali niumie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…