Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Hapana naomba niwahifadhi,.wanawake(baadhi)huifikiria ile siku jinsi atakavyovutia kuliko wote,ukumbi mkubwa,watu wengi wataokuja kutoa zawadi na kufurahia siku yake hiyo na kusahau kuwa NDOA si sherehe pekeyake,sherehe na shamrashamra ni za Masaa tuu lakini maisha ya NDOA ni ya milele tunajisahau sana na kujikita kwenye lile gauni jeupe LA kumeremeta.Ingekuwa vyema ungewataja wasiojielewa[emoji23] [emoji23]
Kwanini wanawake hujiandaa kwa sherehe ya ndoa kuliko ndoa!?
Ungependa mumeo akukumbuke kwa lip siku ya 1 honeymoon?
DJ sepetu