Hata mi nashangaa mkuuKwani ni nani huyo ana kwenda kudhaliishwa?
Hapana. Wanamuonea simba!Duuh!! mkuu maneno makali sana hayo..
kumbeeekabisa mkuu .hao mameneja wake waswahili sana. hawajui ubunifu wanataka kumchuna zari tu
We dada nakupendaga Sana sema nakosa namna ya kushow love ila nitakutaftazari anawasponsor sana wasafi hawataki aachike
saa 4 asubh kipindi cha [HASHTAG]#Leotena[/HASHTAG] na kwenye tv watakuwa live [HASHTAG]#cloudstv[/HASHTAG]Kesho ni saa ngapi na mie niangalie???!!
Umemfollow Mange bana acha uongoKuna mtu kanitumia screenshot eti mange kimambi anamshauri diamond kuhusu hiyo interview kesho,nimecheka sana....kile kibibi kilivyo na chuki ya kiwango cha kimataifa dhidi ya diamond leo kinamshauri kwa wema...anyway acha akamwage ugali kama wamemwaga mboga,sio kila demu ukitembea nae akikwambia ana mimba basi ukubali ni yako,huo ni upopoma.