Interview ya Diamond Clouds: Namshauri ajihadhari na udhalilishaji wanawake

Angekuwa punga mngefurahia,mngemwambia anaenda na global style. fans si mchezo.hawaeleweki.
 
Mnamlaumu diamond wanini? Si msilamu? Mwsho wanawake wanne, wamejichanganya wenyewe avha waliwe
 
Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,yaani furaha niliyonayo ningekuwa mlevi ningekunywa mpaka nijinyee..Zari alijitoa sana akili,akajifanya mtoto wa 20's,alitamba sana na Diamond utadhani Dai ndo aliyemtoa Bikira,alifanya upumbavu bila kujali ni kwa kiasi gani Ivan alikuwa anaumia...tena bila aibu msibani akasema yeye alimove on utadhani aliulizwa..ndani ya mwezi wa kuanzisha mahusiano yao akashika mimba coz alijua Dai ana kiu ya mwana...tena akaona haitoshi alipoona Dai kaanza kucheat akashika mimba nyingine wakati Latifa akiwa na miezi 4(Hii yote ili tu amweke Daimond...kafiwa na mama yake akawa anafanya ujinga na kibenten chake,kuanzia msibani mpk kwenye so called Baecation...Lol,Mwanamke hana haya huyu...HAMISA..Asante kwa kazi nzuri,Hata wakirudiana..KUNYOOKA atakuwa KANYOOKA punguani WAHED HUYU...Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa
 
kunywa maji kidogo mkuu maana sio kwa povu hili..
 
Wakirudiana atakuwa ameamua kujisacrifice haswaa kwakweli sio kwa aibu hii
 
Wakirudiana atakuwa ameamua kujisacrifice haswaa kwakweli sio kwa aibu hii
Tukinao hana haya..lazima amrudie ataenda wapi na wakti alishasema Dai is a caring man so she knows better what his exes are missing from him
 
Vipi jirani?, watu tuko macho kodo kumsubiria celeb wa taifa akilihutubia taifa!.
P
 
Sidhani kama alifuata ushauri wako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…