MCHONGANISHI
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 372
- 364
Hadi kuna wimbo kaimbiwa unaitwa Bongo flavour tafuta mtu anaaitwa Kapuku digital instagram utaupata wimbo unaozungumzia hiyo kashfaUlisikia ile kashfa ya gazetini kwamba jamaa anamlala mama yake kila jumatano ili asishuke kimziki?kashfa kubwa sana kwa D
Mbona wewe unaitwa Foxy?? Is it real you???Hilo jina "dimpoz" limekaa kike kike huyo ni mwanamke au mwanamme?
Nenda kamuazime baba yako ilo lityt lako lililotoboka.Diamond mnamuanzaga akiongea ukwel anaonekana yeye mbaya. Uyo omi madimpo kama yangu aje nimuazime skin tight
HASA SALLAMkumbe ommy ana akili zake timamu nadhani sababu ya kukaa na watu wenye busara na maono ya mbali kama AY,sasa huyu ndugu yetu anashinda na kaka zake raisi wa manzese wao wanawaza majungu tu ndomana kuna show walipigwa makopo..!!kinacho mwangusha bwana D ni ile crew ya mameneja ilio mzunguka
Ommy yuko close na Ally kitambo tangu colabo ya Nainai aliyomshirikisha Ali.Ommy Dimpoz alianza kuwa mbali na Diamond baada ya kuamua kuwa karibu sana na Ali Kiba.
Kuna uwezekano akapotea kabisa katika game kutokana na kujiingiza katika upande wa teams.
Mtu mwingine ambaye yupo katika hati hati ni Baraka da Prince.
Ngoja tuone
Dmomd si ndio alianza jana? Katoa povu hadi la Omy kumuomba amle nyuma yeye Dmond akagomaSure. Ameongea safi sn, ila kma ni kweli anayoyaongea, kwa sababu tumesikia upande mmoja wa story, basi Diamond atakuw na matatizo. I'm not judging, thats why nasema "kama ni kweli".
Kweli kabisa !kuanzia leo naanza kumuweka kwenye kundi la wasanii wanaojielewa !Hata MI nimemkubali alivyoongea..ana uelewa wa hali ya juu na piaana ustaarabu haswa...na pia anaonekana
ana nidhamu mno
Ommy alichokifanya leo kawabandua zile plasta kwenye chuchu zenu akazibandika kwenye midomo yenu. Mmebaki kimyaaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Katafuta kiki kupitia Diamond hakuna lingine FULL STOP.
mmmmhhhh!Leo ....!!Sallam hapa kamuingiza chaka, halafu Sall anaonekana ana akili za kitoto sana. Sja jua kina mkubwa fella wako wapi sku hizi.
Cloudz nao wamenunua hii bifu kwa manufaa yao, na wamemuingiza chaka diamond naye kaingia mzima mzima.
Cloudz ni washenzi kweli!!!
Ommy leo amewaweza mmebaki kimya.Omi anatafta ngazi ya kuvukia. Na source ya yote ni blouz fm wao wasingemuuliza hayo maswali sidhan km mondi angejibu. Simpendi mtu mnafki kama omi.
Btw miss you