Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Jamaa anatia huruma.Sijui kama ni mawazo yangu ila kama vile reaction yake against kuitwa shoga haijakaa sawa.Nafkiri anaogopa alivyoambiwa wanamstiri.Me ukiniita shoga hutasikia nakuongelea vizuri maishani
 
Mayotte Mayotte Mayotte, haters gonna hate,HAKUNA KINACHOWEZA KUMSHUSHA MONDI KWA SASA,SIO MBAYA MKIENDELEA KUJIFURAHISHA HAPA JF.
Never say never!! Kauli ni kitu cha muhimu sana!! Hata Pharao kiburi kilimponza ... kwa povu Diamond alilotoa jana tulfkir atatafakari kauli zake! Instead kaharibu kila kitu mafanikio si ishara your God favoured!! Akasome hadithibya Ayubu
 
Na yeye kasema mara ya kwanza alikuwa anajaribu potezea.
sasa kama suala ni biashara mbona diamond alimaindi yeye alivyoenda s.a akashoot wanjela bila kumtaarifu?
 
Duh! Noma sana ila Ngoja nivae Udiamond afu niprove kuwa hana roho mbya km wengi mnavyosema
 
Sipanic kwa ujinga ujinga hata siku moja,tabia za omari zinajulikana, tangu kitambo dogo anajulikana ana usnitch flani hivi wa kipuuzi na vitabia vya kimama mara Lord eyez kamuibia gari mara nini.utoto mtupu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] hueleweki unachongea we shabiki wa mond kapalilie zabibu sasa BIHAWANA au MAKUTOPOLA
 
"MAFANIKIO NI UWANJA WA VITA"ukipata mafanikio jiandae kwa vita,au bora uwe mnyonge tu.
 
Hawa wasanii wa kigoma wana matatzo gan mbna wanasumbua sanaa?
 
Jamaa anatia huruma.Sijui kama ni mawazo yangu ila kama vile reaction yake against kuitwa shoga haijakaa sawa.Nafkiri anaogopa alivyoambiwa wanamstiri.Me ukiniita shoga hutasikia nakuongelea vizuri maishani
Ushasema 'mimi' thats you, watu hureact tofauti katika same scenario. Ndio maana D alireact vupuuuu, huyu kareact tofauti, mwisho wa siku yakawa hayo yalokuwa.
 
Mfano rejea kwny kauli alomwambia Ruge tena kwa kulalamika kuhusu bifu lake na kiba kwamba " hata kama mtu ni adui yako basi jaribu tu kuwa karibu naye kama Mimi nilivyo na Dimpoz apa " kama ulimsikia Ommy amesema alijiuliza kwann anachukuliw kama Adui lkn hakuuliza. Sasa wew mshabk jiulize kwann Diamond aliyazungumza hayo mbele ya Ommy . utagundua kwamb pengn tayari kuna chuki ilianz kuingia kati yao ambapo either Ommy alikuw snitch kweli au kuna mtu wa pembeni alikuw anamjaza maneno Diamond ndo maan akaw anajitoa taratbu kwa Ommy kwa mentality aliyojijengea kuwa Ommy ni snitch kwake
 
Jamaa anatia huruma.Sijui kama ni mawazo yangu ila kama vile reaction yake against kuitwa shoga haijakaa sawa.Nafkiri anaogopa alivyoambiwa wanamstiri.Me ukiniita shoga hutasikia nakuongelea vizuri maishani
In the long run ommy akiendelea hivi na diamond akaendelea anavyofanya, diamond ndiye atakayepoteza.
yani hii haina tofauti wakili ku mprovoke shahidi mahakamani apanic ajichanganye.
Au unamkanyaga mtu mkiwa mmekaa mezani yeye anakutandika konde ataonekana yeye ndiye mkorofi maana wakati unamkanyaga hakuna aliyeona.
Mfano mimi personally uwa namkubari diamond kwa hustles zake, na nilikuwa namchukulia ommy bwege bwege tu.
ila leo nimeanza mchukulia tofauti kabisa.
Sa D naona anazidi mwaga mipasho kitu ambacho sio kizuri angewaachia akina shilole mambo hayo a act kama Jay Z mzee wa kupiga kimya
 
Hahaaaaa umenichekesha Mpaka basi mkila kuku lazima jirani ajue kweli kijana huyu anaji let down mwenyewe. Mi sijawahi kumwona wizkid au Davido wanafanya ujinga wake. Very shame
Hapo ndipo unapoona tofauti ya embe na parachichi japo yote ni matunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…