Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Never say never!! Kauli ni kitu cha muhimu sana!! Hata Pharao kiburi kilimponza ... kwa povu Diamond alilotoa jana tulfkir atatafakari kauli zake! Instead kaharibu kila kitu mafanikio si ishara your God favoured!! Akasome hadithibya Ayubu
Hakuna kitu kama hicho,mna chuki za kimaskini RU,DIAMOND IS BLESSED BASI,HAKUNA MANENO YANAWEZA KUMSHUSHA MUDA WAKE UKIFIKA ATASHUKA TU,SIO KWA CHUKI ZENU ZA KIMASKINI.
 
Lkn pia Ommy mwenyew kakiri at the same time alikuwa mshkaj wa karibu sana na Kiba then yupo na Diamond pia. Vp km wew ungekuw Diamond then Adui yako kibiashara Kiba ni rafk wa Ommy je, ungeendelea kuwa open kwa kazi zako zote ... Nani anajua sikuiz wasanii wanavyoamin uchawi, hawaaminiani kbs so pengn jamaa aliamua kujihami tu na hii inatokea kwa watu wengi kweny kila nyanja people are friends but have limits na wengn pasipo limits ndo apo siri zako anavujishiwa adui then kinachofuata ni kukushinda kirahs kbs coz wale majamaa wanashindana Kiba na Mondi iyo ipo wazi
 
Alafu itakuwa nn baada ya hapo huo si ujinga tuu hicho ndo wanachokipenda hao clouds
 
Ukiwa upande wa kiba utapotea kimziki?
 
Hahaaaaa umenichekesha Mpaka basi mkila kuku lazima jirani ajue kweli kijana huyu anaji let down mwenyewe. Mi sijawahi kumwona wizkid au Davido wanafanya ujinga wake. Very shame
Labda huwa hufuatilii hayo mambo! mwaka jana tu wizkid na davido wametoka kusuluhishwa bifu lao
 
Mondi ndio benchmark na ngazi yao ya kupandia,ili utoke lazima umuattack mondi
 
lakini kwani diamond hakujua kama ommy na kiba washikaji? wimbo wa ommy wa kwanza chorus si kaimba kiba.
Sasa kama ni hivyo kwanini diamond alimaindi ommy alipotoa video ya wnjela bila kumwambia?
Asingemaindi naye angechukulia biashara tu.
Na ni kweli ommy alijitoa sana kwa diamond kuliko kwa kiba japo kiba ndiye alimtoa kwa chorus kali.
utakumbuka wakati kiba alipoachia wimbo wake wa mwana akijinadi kurejea ommy hakumpa pongezi wala kuupigia promo wimbo wa kiba kitu kilichofanya mashabiki wamtukane sana ommy kuwa hana shukurani kwa kiba..
 
Actually umeona kitu ambacho wengine hatukuona, lakini pia hilo hali justfy Mondi kuanza kutoa povu angekausha.
Kitendo alicho fanya jana hakija nifurahisha. Leo Ommy Dimpoz ata lala kama mshindi na mtu mwenye busara kuliko diamond ka m out perform kwa ku ji contorol
 
Huu uswahili wa huyu jamaa diamond utamshusha, mfano tuamue kwamba Ommy Dimpoz ni shoga kweli afu ianze campaign mtandaoni kwamba diamond ni homophobic unadhani atatoboa huko marekani na ulaya?atakuwa adui namba moja wa watu weupe na hasa waliokamata tasnia ya mziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…