Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Hahaaaa ni kweli kabisaHapo ndipo unapoona tofauti ya embe na parachichi japo yote ni matunda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa ni kweli kabisaHapo ndipo unapoona tofauti ya embe na parachichi japo yote ni matunda.
Hakuna kitu kama hicho,mna chuki za kimaskini RU,DIAMOND IS BLESSED BASI,HAKUNA MANENO YANAWEZA KUMSHUSHA MUDA WAKE UKIFIKA ATASHUKA TU,SIO KWA CHUKI ZENU ZA KIMASKINI.Never say never!! Kauli ni kitu cha muhimu sana!! Hata Pharao kiburi kilimponza ... kwa povu Diamond alilotoa jana tulfkir atatafakari kauli zake! Instead kaharibu kila kitu mafanikio si ishara your God favoured!! Akasome hadithibya Ayubu
Ukijua nani yupo juu,utajua nani anataka kumshusha mwenzake,u got me?Kwani nani anataka kumshusha, ukimuangalia vizuri nani anataka kumshusha mwenzie?
Ukiwa upande wa kiba utapotea kimziki?Ommy Dimpoz alianza kuwa mbali na Diamond baada ya kuamua kuwa karibu sana na Ali Kiba.
Kuna uwezekano akapotea kabisa katika game kutokana na kujiingiza katika upande wa teams.
Mtu mwingine ambaye yupo katika hati hati ni Baraka da Prince.
Ngoja tuone
Labda huwa hufuatilii hayo mambo! mwaka jana tu wizkid na davido wametoka kusuluhishwa bifu laoHahaaaaa umenichekesha Mpaka basi mkila kuku lazima jirani ajue kweli kijana huyu anaji let down mwenyewe. Mi sijawahi kumwona wizkid au Davido wanafanya ujinga wake. Very shame
Yai la nin bana akazanie kazi nzuri tu...Umenena!
Jokate amfundishe kutema yai tu....maana Kiba akitokaga nje ya Tz ni majanga tu!
Sio kwa broken lile?!?[emoji85] [emoji85]
Ni mwendo wa facts tu....dhamiri itamsutayaani kweli ukitaka kumjua mtu anachowaza mpandishe mori!!
mondi Leo halali haki tena!
Ila walikua hawafanyi ujinga ka wa wasanii wetu pamoja na mashabiki zao kutukanana matusi makubwaLabda huwa hufuatilii hayo mambo! mwaka jana tu wizkid na davido wametoka kusuluhishwa bifu lao
Yale yaleeeee!!!Ukijua nani yupo juu,utajua nani anataka kumshusha mwenzake,u got me?
Kiba mambo yke ya chini chini mzee wa kupost n kufutaKiba ana busara sana,huwezi kumsikia ktk mambo ya kipuuzi kama haya.
lakini kwani diamond hakujua kama ommy na kiba washikaji? wimbo wa ommy wa kwanza chorus si kaimba kiba.Lkn pia Ommy mwenyew kakiri at the same time alikuwa mshkaj wa karibu sana na Kiba then yupo na Diamond pia. Vp km wew ungekuw Diamond then Adui yako kibiashara Kiba ni rafk wa Ommy je, ungeendelea kuwa open kwa kazi zako zote ... Nani anajua sikuiz wasanii wanavyoamin uchawi, hawaaminiani kbs so pengn jamaa aliamua kujihami tu na hii inatokea kwa watu wengi kweny kila nyanja people are friends but have limits na wengn pasipo limits ndo apo siri zako anavujishiwa adui then kinachofuata ni kukushinda kirahs kbs coz wale majamaa wanashindana Kiba na Mondi iyo ipo wazi
Sio kweli...Mondi ndio benchmark na ngazi yao ya kupandia,ili utoke lazima umuattack mondi
Actually umeona kitu ambacho wengine hatukuona, lakini pia hilo hali justfy Mondi kuanza kutoa povu angekausha.Lkn pia Ommy mwenyew kakiri at the same time alikuwa mshkaj wa karibu sana na Kiba then yupo na Diamond pia. Vp km wew ungekuw Diamond then Adui yako kibiashara Kiba ni rafk wa Ommy je, ungeendelea kuwa open kwa kazi zako zote ... Nani anajua sikuiz wasanii wanavyoamin uchawi, hawaaminiani kbs so pengn jamaa aliamua kujihami tu na hii inatokea kwa watu wengi kweny kila nyanja people are friends but have limits na wengn pasipo limits ndo apo siri zako anavujishiwa adui then kinachofuata ni kukushinda kirahs kbs coz wale majamaa wanashindana Kiba na Mondi iyo ipo wazi
Mr mutahaba kwenye ubora wake akisaidiwa na soudy brown unadhani kuna kitu mjini kina pita bila wao kujua?kweli kabisa..
ila meneja mipango wao mzuri sana..
maana anajua akili za waTz zinataka nini kwa sasa...