Hujasikiliza clip? Kayaongea mazuri aliyofanyiwa na DKwenye mambo ya shutma lazima usikilize pande zote ndo utausoma mziki katika hali ya kawaida hawezi kuongea mazuri aliofanyiwa na domo japo naamini yapo
Etiiiiiiiii!?[emoji15]Haizidi kashfa ya ushoga wewe..
Ulisikia ile kashfa ya gazetini kwamba jamaa anamlala mama yake kila jumatano ili asishuke kimziki?kashfa kubwa sana kwa D
Mbona leo mnaloo!! Hapo kibaya kiko wapi!! Mlivyokazana na madesa yenu ambayo hata hayahusiki ndio mnazidi kutia huruma.Kiba mambo yke ya chini chini mzee wa kupost n kufuta
Mnawasingizia tu clouds wasanii wenyewe ndo wajinga hawatumii akili zao vyema, acha wachonganishwe maana clouds haikutuma domo aandike pumba zake insta na alivopewa interview wakamchota akili akaanza kujiropokea tu, wasanii wasipobadilika watatumika ka tissues Mpaka wajijutreeIla clouds wachonganishi sana hawa jamaa,kuna siku nimeona ahojiwa sijiwi mdogo wake na baraka the prince sikuelewa mantiki ya wao kuishupalia sana ile issue mpaka yule dogo anapiga simu kwa mana yao huko kijijini....ule ulikua utoto wa hali ya juu!
Yaani umenifanya nikumbuke ile chorus, boonge la chorus yaani.lakini kwani diamond hakujua kama ommy na kiba washikaji? wimbo wa ommy wa kwanza chorus si kaimba kiba.
Sasa kama ni hivyo kwanini diamond alimaindi ommy alipotoa video ya wnjela bila kumwambia?
Asingemaindi naye angechukulia biashara tu.
Na ni kweli ommy alijitoa sana kwa diamond kuliko kwa kiba japo kiba ndiye alimtoa kwa chorus kali.
utakumbuka wakati kiba alipoachia wimbo wake wa mwana akijinadi kurejea ommy hakumpa pongezi wala kuupigia promo wimbo wa kiba kitu kilichofanya mashabiki wamtukane sana ommy kuwa hana shukurani kwa kiba..
Mimi nimefurahi sana kwakuwa mdogo wangu Ommy ametoa darasa la bure leo.Sema uyu jamaa wakuitwa Daud Mchambuzi amefurahi sana kuona Diamond anashambuliwa. Lkn vp iv kuna mtu keshawahi jiuliza effect ya kutukanwa sana mitandaoni somtymz inawez pelekea reaction za namn ile na sio tu kila kitu watu tunatukaaana ndo maana wasanii wetu wanaogopa ata kukazana wawe kama Diamond na kiba wanajua tu mtawatafutia mapungufu mtukane
Tatizo la maskini (waswahili) mkiambiwa ukweli mnadai chuki... kila mtu kabarikiwa kwa namna yake ndo maana kila mtu ana kipaji na talanta yake, Diamond ana upepo wa mashabiki Ommy Dimpoz ana hekima ingawa wote wana kipaji cha uimbaji.. alipandishwa na watu na atashushwa na watu!! Usiseme hakuna wa kumshusha... mifano anuwai iko mingi tu kuanzia kwenye vitabu vya dini na kwenye maisha. Wenye chuki ni nyie ambao hamumwambii ukweli hata akikosea mmnasifia tuu...Hakuna kitu kama hicho,mna chuki za kimaskini RU,DIAMOND IS BLESSED BASI,HAKUNA MANENO YANAWEZA KUMSHUSHA MUDA WAKE UKIFIKA ATASHUKA TU,SIO KWA CHUKI ZENU ZA KIMASKINI.
Hakuna.sehemu.aliyompondaPovu litoke wapi wakati amekamatwa kila mahali,Dimpoz alichochemsha ni kujiunga na Ally Kiba kumponda Diamond public
D kayataka mwenyewe si aliyaanzia huko alikoyaanzia, ndio maana akahojiwa, nae badala afiche aibu yake akajiropokeaaa!!!Ila clouds wachonganishi sana hawa jamaa,kuna siku nimeona ahojiwa sijiwi mdogo wake na baraka the prince sikuelewa mantiki ya wao kuishupalia sana ile issue mpaka yule dogo anapiga simu kwa mana yao huko kijijini....ule ulikua utoto wa hali ya juu!
Kwan yy barak yupo wapi maana nisamehe hata cjui ilienda wpUmesahau maneno kuntu ya kwenye Silali mkuu?
Aiseee ule ndio wimbo wangu bora wa Rich Mavoko wa miaka yote.
Muda utatuambia,ataukumbuka ushauri wa Baraka kukiwa kumeshakucha.
Amekubali.kwamba.d.anamchango.mkubwa kwake.na d.ndiye aliyemshauri.awe soloartistKwenye mambo ya shutma lazima usikilize pande zote ndo utausoma mziki katika hali ya kawaida hawezi kuongea mazuri aliofanyiwa na domo japo naamini yapo
Interview ya leo tu inaingiza mpunga wa kutosha kwa Ommy coz watu wengi sana wamejua ukweli wamehamia upande wake wanaview kazi zake mtonyo unaongezeka.Kaingiza kiasi gani cha fedha tangu aanze kusema ya viewers?
D angepigana.umesahau nusura azichape na divazingerushwa ngumi, yani unakutana na mtu ambae jana kasema unapumuliwa and the like...alafu ilikua sawa this way maana unapata kusikia story za pande zote mbili bila majibizano then hayo mengine ndio yanafuata...
Sawa Ommy amejua kuondoka na kijiji leo. Basi nigawie namm furaha kidogo sio mbayaMimi nimefurahi sana kwakuwa mdogo wangu Ommy ametoa darasa la bure leo.
Diamond ameshaongea jana tumechuja Ommy ndiyo mkweli.Ushahidi wa hayo wana ujua wenyewe, na Diamond akiongea mtasema Nani mkweli?
Inakua haina maana tena.Kwan baada hapo alishidwa kumfata davido kaja mara ngapi bongo kashindwa fanya nae collabo
Watu na viatu by Nyota NdogoKwa hiyo interview hata na mimi ommy naona thumbs up.diamond kama alipanic hivi.mitaani marafiki wa aina hiyo wapo . anajitia rafiki kumbe deep down anapenda afanikiwe yeye tu