Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Mkuu umekitonesha kidonda changu kilichoanza kupona kuhusu Ommy alivyomchunia Kiba aliporejea.

Iliniumaaaaa,nilimchukia Ommy sana,nilimunfollow hadi leo sijamfollow tena.
Basi msamehe na sasa follow him back kwa furaha.

Ni kijana wetu amegundua kuwa alikosea na kuamua kurudi Nyumbani.

Yhoooooooooooooooo
 
mbona hii sikuisikia nani anatembea na mama yake mzazi? Maana hii laana inaweza kutafuna vizazi vya mtu .
[emoji23] [emoji23] nimesoma hapo juu kuwa kuna gazeti liliandika domo na mama ake huwa wanalala pamoja [emoji12] [emoji12] sijajua ukweli ni upi.
Nilikua namjibu aliye sema ushoga ni mbaya zaidi kuliko kulala na mzazi wakoo[emoji16] [emoji16] upooooo????
 
Kijana Ommy ameongea kama professional PR, hekima ni muhimu sana,hata uwe na utajiri na mamlaka ya namna gani kama umekosa hekima ,basi unakuwa umekosa kitu cha thamani zaidi ya hizo mali na mamlaka uliyonayo
 
My richness is life forever!! Hakuna utajiri kama huu!! Sishindi mtandaoni kumchafua mtu niko mtandaoni kusema ukweli!! Haijalishi ni nani... mbona unapanic brother au na wewe ustahimilivu hauna... nliwahi kuambiwa kuwa Elimu, Umri, Kuridhika, Ufahamu (Exposure), na Busara ni vitu muhimu katika kujenga ustahimilivu sasa sijui wewe na bosi wako mmekosa lipi??
I have a life!! Nnaweza kwenda popote duniani, hatuwazi tunakula na tunavaa nini!! Nashukuru babu zangu walifika mjini mapema na waliwekeza kwa ajili ya vizazi vyao mbali na hayo walitupeleka shule tukasoma na tukaelimika... ndo mana niko composed sina stress na nna USTAHIMILIVU siropokwi kama nyie.
Kumbuka Common Sense is not very common
 
Basi msamehe na sasa follow him back kwa furaha.

Ni kijana wetu amegundua kuwa alikosea na kuamua kurudi Nyumbani.

Yhoooooooooooooooo
Kwa ombi lako hili mpendwa mzaramo naenda kumfollow sasa hivi.
Bora ajifunze na aache kutoroka nyumbani tena, hakuna alichopata zaidi ya matusi na dharau.
 
NILICHOGUNDUA KWENYE HUU UZI NI KUWA KUNA TATIZO KUBWA SANA LA WATU KUUZA TIGO, NA WAUZA TIGO KINA DIMPOZ SIKU ZOTE WANA SUPPORT KUBWA SANA HUMU.MFANO NI HUYU Daudi Mchambuzi KWA KU PM WATU HUMU WAMULE JICHO HAJAMBO.
 
Tumekosa vyote.
 
duh wabongo hiv mna mda wa kufanya maisha yenu kweli??? maana naona. mnafatilia maisha ya wenzenu waliotoboa kimaisha,, sasa kama hyo ya m10 sisi hatujawah kuskia ila kwa nyie mpo makin sana , mnajua maisha ya hawa wanaume wa dar kiundani sana,, yan unajua kama ni course flan hivi umeisomea una professional nayo..
 
Muda wa mimi kutosema chochote umefika. Maana panaelekea pabaya.
 
Ivi ndo yule ommy aliesema hawezi kufa maskini kama ngwea.
Ivi ni yule ommy alie like picha ya yule mtukananaji (shishi boy).
Ni yule ommy aliesema mond ananunua views.
Ni yule ommy alisema kama mond mziki wake wakijanjajanja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo mana mond aliimba binadamu wabaya[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji4] ndo mana akaimba je utanipenda .rafiki ndo adui wa kesho[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] acheni zenu bhana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Acha 2 jamaa aendelee kupumuliwa
 
Cpend ujinga[emoji19] [emoji19] [emoji19] . mond hustle zake mpaka anamwagiwa mikojo jukwaani Leo kafanikiwa eti ana roho mbaya uyo ommy alitaka alishwe
 
Hujamuelewa ommy yote hayo yalikuwa yakitokea lakn still alikuwa anafunika kombe na ushikaji unaendelea kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…