mzaramo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2006
- 6,371
- 5,186
Basi msamehe na sasa follow him back kwa furaha.Mkuu umekitonesha kidonda changu kilichoanza kupona kuhusu Ommy alivyomchunia Kiba aliporejea.
Iliniumaaaaa,nilimchukia Ommy sana,nilimunfollow hadi leo sijamfollow tena.
Ni kijana wetu amegundua kuwa alikosea na kuamua kurudi Nyumbani.
Yhoooooooooooooooo