Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Sikiwahi kujua Kama dimpoz ni muungwana kiasi hiki. Mond ana uswahili Sana.
 
Ommy anatafuta huruma tuu....
Afanye kazi..atoe hitsong.
 
Usikurupuke sikiliza hiyo audio amemtaja Ay kama mtu anayejaribu kuwapatanisha.

Natanguliza pole za dhati maana Ommy amewavua nguo hadharani mmebaki uchi.
 
Jambazi watu waelewa wanakosoana kwa hoja, kwa kutumia reference za kutosha, if u have reference kutoka vyanzo mbalimbali weka hapo unikosoe na ndivyo watu wenye IQ kubwa wanabishana, sio unakuwa kichwa cha panzi unaanza matusi, nadhani hapo kwenye mchango wangu hujaona tusi, ila nakuonea huruma uwezo wako wakufikiri ni mdogo na ndio maana unatukana.
 
Diamond ni mnafiki, mbinafsi na anaroho mbaya......Kama ni mafanikio hata MAJAMBAZI na WAUAJI wanayo, anguko lake limefika.
 
Unaweza kuta ni yeye mwenyewe au anatuma watu na kuwaambia hizo ishu.
Wanajuaje hayo yote???
Hizi drama hazitaisha kama hawa wasanii wakishindwa tambua uthamani wako katika jamii yao.
 
Nilichokiona mm kwa diamond jamaa ana roho at the same time anaroho ya kwann, hyo inapelekea mpka kupata msaada wake lazima ujishushe naweza kusema you must be dog to find support from him. Sasa kwa maisha haya siyo wote watakao kuabudu atawapa hao hao waliojikatia tamaa ya maisha......
Anajitahd awe king wa east africa lakini anatumia wrong approach kuupata
 
Hhahahahhaa uchawi pekee halimtoshi cjui aongezwe neno lipi la kumsindikizia
 
View attachment 439059 kwa majibu haya Ommy atakua yupo sahihi,naona Domo kachomwa kumoyo [HASHTAG]#TeamRohoMbaya[/HASHTAG]
Aiseeee jamaa kweli mswahil nilitegemea hatojibu tena amejifunza lakini kumbe ......
Simlaumu sana ndo shida za kulelewa na single mother na madada pekee. Hta zle hekima za mzee hakubahatika kuzipata
 
Ukijishusha/ kumwabudu utafanikiwa.
Je ww maisha hayo unayaweza? na utuuzima huu upangiwe timetable ya nn ufanye wap usiende?
 
Diamond mswahili na mswahili akipata pesa kichwa kinavimba maneno yake yale makali sana na yaliyojaa jeuri, dharau na kibuli , ommy dimpoz hata ivyo kavumilia sana bora awe mwenyewe tu mi ningekuwa yeye ningekuwa siku moja nishapiga mtu vibao
 
Huna lolote timu majajalani
 
Lkn pia kumbuka Ommy alishafany na JMartin na hao mnaosema wanambania ridhiki ndo walimtafutia izo collable. Mi ninachokiona apo Ommy pia alikuwa tegemezi sana hakuw na juhudi binafs mbn kwa nafasi yake pind amehit angeweza tafuta izo Collable mwenyew au angetafuta wasanii wengn sallam angemsaidia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…