Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

mi kwa upande wangu sijaona kosa la Diamond. Swala la kufichana baadhi ya vitu kwenye bussiness ni jambo la kawaida. Na ndio maana hata uwe na uswahiba na mzee Mengi usitegemee atakushirikisha mipango yake ya biashara. NEVER. Wakati Diamond anaenda kushuti south hakumtaarifu mshkaji(sio meneja wake) ila wakati wanazindua hiyo video akampa mwaliko mwana. And that's friendship. Nadhani kilichotokea kwa hao jamaa ni mmoja kushindwa kutofautisha URAFIKI nini na KAZI nini.
Yani wewe biashara za watu unashirikishwa na idea unaiba alafu ya kwako ni siri?

Kuna tofauti gani na uchawi hapo?

Leo watanzania wameujua ukweli aisee.
 
Utajiri una mambo yake si kila unachokiona kwa macho ndivyo kilivyo.Watu wanafanya vitu vya hatari maana hakuna anaependa umaskini. Unafikiri kwa nini dogo inakua vigumu kumsamehe baba yake?

Kama nimekuelewa hivi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
  • Thanks
Reactions: Gut
Hata MI nimemkubali alivyoongea..ana uelewa wa hali ya juu na piaana ustaarabu haswa...na pia anaonekana
ana nidhamu mno
Sana mkuu, ana nidhamu ya hali ya juu!

Huyu amelelewa malezi mazuri tuu, sema mahangaiko ya hii dunia

Halafu kanaonekana elimu kidogo inamsaidia kupambanua mambo!

Domo ni mswahili kindaki ndaki. Period
 
Hahaha imepeenya hiyo.

Ommy amewafanya mmekua wapole kama kuku mwenye mdondo.

Nadhani leo mmepata somo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwel binadamu tumeumbiwa usahaulifu.
Hivi ulisikilza interview ya omi alivyokua anabwabwaja kua wa2 wananunua views etc. Kisa kujibiwa jana tena kagongwa ikulu kaja mikono nyuma kwa upole km sio yupe omi wa wiki 2 zilizopita. Maisha bila unafki hayaendi
 
Sikuwahi kumfikiria km anaweza kujieleza kuufasaha namna hii kweli Ommy umetulia km ni kweli unayoyasema mm nakutakia mafanikio mema Mungu akupe moyo huohuo wa uvumilivu Maana Rizki haizimwi ila inacheleweshwa tu!

Natamani asome hapa.
 
Yani wewe biashara za watu unashirikishwa na idea unaiba alafu ya kwako ni siri?

Kuna tofauti gani na uchawi hapo?

Leo watanzania wameujua ukweli aisee.
Kaka kaiba idea ipi. Ni ile ya kumtumia mzee wa saxofone? I bet no. Ommy D sio wa kwanza kumtumia yule mzee.
 
Kama hukusikiliza bora ukakaa kimya, au kama hukuelewa ni vema ukauliza kwanza. Haya mambo ya team yanawafanya watu wazima wanabehave km mazuzu ama watoto. Acheni kudhalilisha uwezo wenu wa kureason sometimes. Hakuna ulazma wa kuchangia kila uzi. Mingine baki kuwa msomaji tu km unahisi neno lako haliwezi kukizidi kimya chako busara
Kwa hiyo jana Diamond alikuwa visiwani Mayotte.... Eti mkuu mwenye akili!!!! Visiwani Mayotte kuna studio za clouds!!!! Aseee
 
Me mwenyew hpa nna bifu Na Alikiba, Diamond, Mrisho Mpoto, Sizonje, Babu tale, Sugu, Temba, Chege, Ymoto band nk, mwaka huu ukiona mambo hayaend tafta mtu maarufu alaf anzisha bifu zito
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ommy yuko close na Ally kitambo tangu colabo ya Nainai aliyomshirikisha Ali.
Tena anakuambia kipindi anafatilia hiyo nyimbo alikua hana usafiri diamond akawa anampeleka studio kwa gari yake kufatilia hiyo nyimbo.
D ni mtu wa majungu sana, nakumbuka Ommy alivyochukua tuzo yake ya kwanza KTMA D alivyoongea kuna kama dongo alilirusha, sikumbuki vizuri lkn ilikuwa kama anamrushia dongo yule jamaa wa sharobaro records kuwa ommy kachukua tuzo ila ye hata moja hajawahi chukua.
 
Back
Top Bottom