Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku zote Tamisemi connection na utumishi connection ni wachache sana wengi walioajiriwa Tamisemi ilikuwaga ni bahati tu maana wale jamaa walikuwa hawana vigezo Bali inategemea wameamka vipi siku hiyo, unaweza Kuta boss anakuambia safar hii tuchukue wa mwaka flani tuSawa
Kwel kabisa mkuu, bora sasa hv kuna usaili kwa watu woteSiku zote Tamisemi connection na utumishi connection ni wachache sana wengi walioajiriwa Tamisemi ilikuwaga ni bahati tu maana wale jamaa walikuwa hawana vigezo Bali inategemea wameamka vipi siku hiyo, unaweza Kuta boss anakuambia safar hii tuchukue wa mwaka flani tu
Wanasema et connection haziwezi kukosekana ..et wengine tyr wameshapangiwa had vituo interview kama geresha tu bajeti ipitishwe watu wapate per DmKwel kabisa mkuu, bora sasa hv kuna usaili kwa watu wote
Mh ya kwel haya?,,😳😳Jidanganye!
Siku ukijua hapa duniani hakuna haki ndipo utakapo elewa ulichelewa sana
Wasijipe presha.Wanasema et connection haziwezi kukosekana ..et wengine tyr wameshapangiwa had vituo interview kama geresha tu bajeti ipitishwe watu wapate per Dm
Hapo rushwa Zitasikika kwelikweli, kama usaili wa watendaji wa vijiji watu hutoa rushwa je hii vipi? Serikali imejipanga? # Technical know whom and not technical know how.Kwanza niipongeze wizara husika Kwa hatua iliyochukuliwa ya kuwafanyisha usaili ..maana italeta haki Kwa watoto wasiokuwa na watu au connection za kuwaingiza kwenye system Yani ufaulu wako ndo utakaokusaidia
Umelala wapi wewe? Tanzania au Marekani, Sweden? Norway? Maana unayoyaandika ni kama hukai hapa? Haki itoke wa[pi? Au nawe ni mnufaika wa rushwa za interviewKwanza niipongeze wizara husika Kwa hatua iliyochukuliwa ya kuwafanyisha usaili ..maana italeta haki Kwa watoto wasiokuwa na watu au connection za kuwaingiza kwenye system Yani ufaulu wako ndo utakaokusaidia
Nimeomba mara nyingi sana tamisemi sijawahi pata ndo natarajia kufanya interview nasikiaga utumishi hakuna rushwa mkuuUmelala wapi wewe? Tanzania au Marekani, Sweden? Norway? Maana unayoyaandika ni kama hukai hapa? Haki itoke wa[pi? Au nawe ni mnufaika wa rushwa za interview
Nchi ngumu sana hii. In general ulimwengu voiceHapo rushwa Zitasikika kwelikweli, kama usaili wa watendaji wa vijiji watu hutoa rushwa je hii vipi? Serikali imejipanga? # Technical know whom and not technical know how.
Pili binafsi mim naona ni kuwaharibia nauli vijana jobless maana mtu anaenda kwenye usaili kajichanga kwelikweli anarudi hawezi kulipa madeni na pia kazi hapati
Maskini anaendelea kunyanganywa hata kile kidogo alichonacho, Wala hakuna anae jali
Mwenye kisu kikali ndiye atakae kula nyama
Yaani ndugu hapo naweza kusema kwamba serikali imetengeneza mianya ya rushwa kwa wasaili dhidi ya wasailiwa,Nchi ngumu sana hii. In general ulimwengu voice