Interview za Tanapa - Arusha

Interview za Tanapa - Arusha

master09

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
813
Reaction score
561
Habari, ninamasikitiko kwa jinsi ya zoezi la interview linavyoendeshwa huko Arusha.
Kuna issue ya age limit 25 kwa diploma na degree 30,mfumo wa utumishi(ajira portal) umechuja kulingwna na age labda 25 sawa sasa watoto wameitwa baada ya miezi miwili au mitatu before alikuwa 24 wakati anaomba anaitwa amefika 25 na week mbili au mwezi, ajabu anafika kwenye interview anaambiwa umri mkubwa ndo nini hii inamaana hawakui hawa watoto siyo fair kabisa mnawapa frastruation watoto kama mnawatu wenu msinge waita waje huko tumetoa nauli afu interview haiko fair and open, basi tuassume huyu mwenye 24 siku ya kuitwa kazini inaweza kuwa mwakani au baada ya miezi kadhaa akiwa na 25 mtamwacha,waachane wote wafanye interview miaka 25 na mwezi ni 25 hiyo kwasababu mtu anakuwa na siyo jiwe ama mngeweka 23 kwenda chini

Nchi ngumu sana hii
 
Kweli mi mambo ya interview ya mbali hapana asee,fikiria mtu unatoka mwanza unaenda dar huna ndugu nauli ya chini 78000,ujala njiani,ujatumia nauli za mjini dar,huja kulaa,hujalalaaa.....afu mtu kiwepesi anakwambia huna vigezo.mamaae
 
hapo ndipo haya mataasisi ya Serikali yanafeli
Badala ya kuangalia GPA za kueleweka, wao wapo bize kuangalia tofauti ya miezi ya kuzaliwa na kuishia kuchukua GPA za hovyo eti kwa sababu ametimiza kigezo cha umri, utafikiri huo umri ndio unaenda kufanya kazi......
 
Back
Top Bottom