Interview za TRA hazijatenda haki

Yes discipline pia ni muhimu sana plus uvumilivu kiasi chake, ukitaka kujua hili kawaulize madogo wanaojifunza ufundi magari kwenye gereji bubu utanielewa
niliwahi fanya kazi gereji miezi minne,,,,aise acha kaka na kuna siku inapita hamjapata kazi yoyote unatamani hata kushukuru maana ikija kazi utaombaa poooo ni heavy duty
 
Kalime Tu vitunguu boss hakuna namna, au tafta kazi Kwa kanjibai
 
Swali la msingi, kama ana irrelevant qualifications kwanini aitwe kwenye interview?

Ukimpata wakili kaliba ya kibatala unadai fidia 100mil.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Ilitakiwa usimwite aje afanye interview, sii kumpotezea nauli.

Hapo akipatikana wa kufungua kesi serikali italipa mamilioni ya pesa.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Hivi hii inawezekana kweli hata kama kafanyiwa au atafanyiwa na mzazi wake aongee wazi wazi kweli? hebu kidogo tupunguze kidogo chumvi.
 
Hivi hii inawezekana kweli hata kama kafanyiwa au atafanyiwa na mzazi wake aongee wazi wazi kweli? hebu kidogo tupunguze kidogo chumvi.
Sasa unadhani watachukua vipaza sauti watuambie si tunaishi nao tulipo, tumesoma nao na tunaingia nao kwenye interview. Hujaishi na watoto wakishua bro. Wanasema ukweli wao regardless of how you feel na sisi hatuwahukumu kwa hayo. Wana haki ya kuringia hilo so it doesn’t disturb us. Kikubwa na taasisi zifanye haki hata kidogo tu. Awamu hii akiingia mkubwa mmoja
 
Sasa watu wanaogopa nini kuja ku comment huku napokea malalamiko kumbe kuna wengine sijui namba zao hazionekani! Yani mtu amefanya mtihani ila matokeo yake hayaonekani. Nadhani taasisi ingeyafanyia kazi haya malalamiko kwa wema tu.

Mimi nimeleta issue yangu ila naona wengi wana changamoto wanashindwa kuja kusema.
MAMA SAMIA TUNAOMBA URUDISHE MCHAKATO HUU UKAFANYWE UPYA UTUMISHI TUNAKUOMBA SANA SANA SANA. Wengine tumesoma chuo cha kodi kwahiyo mnavyosema tukaombe kazi kwengine ni wapi mtuoneshe tuje kuomba. Kama huna msaada naomba usichangie comment hapa please
 
Madudu ni mengi sana, bado upande wa watu wenye ulemavu waliofanikiwa kufikisha alama 50% wamewatema kuendelea hatua inayofatia ya oral kisa hawajafikisha passmark. Ni aibu sana hii taasisi.
 
Madudu ni mengi sana, bado upande wa watu wenye ulemavu waliofanikiwa kufikisha alama 50% wamewatema kuendelea hatua inayofatia ya oral kisa hawajafikisha passmark. Ni aibu sana hii taasisi.
Sasa kwanini Mama Samia asisitishe tu arudishe mfumo utumishi?

MAMA SAMIA SULUHU HASSAN TUNAJUA UNAYAONA HAYA. Naomba tuokoe wanao.

Wengine tumesoma chuo cha kodi hatuna pengine pa kwenda kuombea kazi tufanyaje?
 
uwe unawatag hata baadhi ya watu ambao wapo kwenye system wanaweza kumfikishia Mama haya maoni maana wapo karibu nae watu kama hawa Depal Living Pablo Intelligent businessman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…