Interview za TRA hazijatenda haki

Interview za TRA hazijatenda haki

Alafu TRA ukiwaandikia malalamiko kuhusu namba za watu kutokuonekana au hizi lawama za hivi kwenye page yao ya instagram wanafuta comment yako haraka na wana ku report. Unakosa uwezo wa kucomment tena. Wameshajua waliyofanya.

Huu mchakato wa interview uhairishwe watangaze upya iwe kwa haki.

MAMA SAMIA WATOTO WAKO TUNASOTA SANA HATUNA CONNECTION HATA TUNAPOFAULU TUNAKATWA BILA HAKI.

MAMA SAMIA TUSIKIE WANAO WENGINE TUMESOMA HIKO HIKO CHUO CHAO CHA KODI LAKINI
LEO NAMBA HAZIONEKANI. Wengine ireelevant qualifications wakati na interview ilifanywa. Tukamlilie nani??

Haki ya watanzania wote iko wapi? Tufanyeje?

Hii sio haki TUNAOMBA INTERVIEW IRUDIWE
 
VIJANA WA KITANZANIA SISI NDO TAIFA LA KESHO. 2025 HILI SWALA TUTALIONGEA VIZURI KAMA TAIFA LIMEAMUA LITUNYANYASE VIJANA TUSIO NA CONNECTION BASI HAINA SHIDA TUTAUNGANA WANYONGE WOTE TUTENGENEZE TAIFA LETU LENYE HAKI NA USAWA BILA KUJALI NANI NI MTOTO WA NANI WALA NANI. KUMBE WAMEHAMISHIA MCHAKATO KWAO KUTOKA UTUMISHI ILI WATUFANYIE HAYA?? BASI WATAPIGIANA KURA WENYEWE.

MAMA SAMIA TUNAOMBA KWA HAKI KABISA HILI SWALA INGILIA KATI VIJANA WAMESHACHOKA.

UKILIKALIA
KIMYA HILI TUTAJUA UMELIBARIKI.
 
Niliandika hapa watu wasijisumbue kwenda kwenye usaili huo, TRA kufanya mchakato wa ajira ni jipu hata wakirudia mara 200 usitegemee mabadiliko makubwa sana, kwa bahati mbaya sidhani kama itakuwa ni rahisi kwa ujumbe huu kumfikia muhusika kwa maana waliomzunguka ndio wanufaika wakuu wa ufedhuli huu. Kuanzia mchakato wa ununuzi wa mfumo wa kuchakata hayo maombi uligubikwa na RUSHWA, wanasiasa hutowasikia wakipiga kelele kwenye hili kwa sababu una wa favour. Na siku wizara ya afya ama Elimu ikija na mfumo wake binafsi watoto wa mama ntilie ndio itakua mwisho kuingia katika ajira hizo. BTW endeleeni kupaza sauti
 
NDIO MKUU KIKUBWA TUENDELEE KUPAZA SAUTI. HAKI ITENDEKE TUMECHOKA KUONEWA
 
Habari wakuu.

Lalamiko nilaloleta mahali hapa ni kwanini TRA iitishe interview, iruhusu watu wafanye alafu mtu unafaulu kwa marks zaidi ya tisini unaambiwa una irrelevant qualification za kuendelea na mchakato wa kufanya oral interview.

Ina maana hadi wanakuita uje ufanye interview hawakujua kwamba una irrelevant qualifications?

Mtu unakopa pesa ili uweze kufika mkoa ambao umeitwa kwenda kufanya Interview maana interview inakukuta kwenye vibarua vya watu unapambana kujitolea alafu unafika unapambana kusoma usiku na mchana unajiandaa vizuri unaingia kwenye mtihani unafanya vizuri unafaulu kwa marks za juu kabisa alafu unakuja kuambiwa umefaulu lakini hujachaguliwa kwakua una irrelevant qualifications? Kwanini mliita mtu in the first place?

INTERVIEW IRUDIWE ILI HAKI IWEPO. MCHAKATO MZIMA WA
INTERVIEW URUDIWE, WATANGAZE UPYA ILI WATU WAOMBE UPYA NA WENYE QUALIFICATIONS HUSIKA WAOMBE NA MUWACHAGUE KWA HAKI NA USAWA. WAHANGA NI WENGI SANA NA INAUMIZA.

NAOMBA TRA WARUDIE MCHAKATO WA INTERVIEW ILI WALIOKOSESHWA KWENDA KWENYE ORAL KWA KIGEZO CHA IRRELEVANT QUALIFICATIONS HATA KAMA WANA MARKS KUBWA NAO WAITWE WAFANYE TENA INTERVIEW.

Haki itendeke watoto wa maskini tunaendelea kusota.

Nimeambatanisha na mfano wa uonevu huo uliotendeka.
Na TRA mlipotaka kufanyisha interview nyinyi wenyewe hiki ndo mlitaka kufanya? Haki itendeke mchakato urudiwe
Mimi nadhani tukiwa fair Kwa pande zote wewe concern Yako ni kufaulu na kuzuiliwa kuendelea na mchakato

Maswali yafuatayo unatakiwa uyajibu bila kujipendelea

1. Sifa/ qualifications za post uliyoomba zipo wazi na zinafaamika ? (Ndio au hapana )

2. Kama zinafaamika bila kujipendelea tuambie wewe unazo hizo sifa ? Au ulipita kimagumshi ?

3 kama sifa /qualifications hazifaamiki malalamiko Yako Yana maana

Kufaulu pekeake hakutoshi ku-justify kuwa unazo sifa maana inawezekana ulipata "gaka"
 
Unaweza kupita kimagumashi kwenye mfumo uliokuchagua wenyewe? Basi kama ni hivo unakubaliana na wanaosema kuna uhujumu?
 
Mkuu qualifications zote unazo na bado wamekuandikia irrelevant?
Malalamiko yameletwa kwenye page yafanyiwe kazi. Nikienda direct nisije nikapotezwa mkuu. Nadhani nimeelezwa vizuri
Tu.
Kuna issue ya mtu
Kufanya interview na kuambiwa ana irrelevant qualifications regardless of the marks alizopata: issue ya pili ni mtu amefanya mtihani ila namba yake ya mtihani haipo so hafahamu majibu yake. Let’s forget about my ID tudeal na issue iliyopo mezani. Inawezekana nimewakilisha mtu au watu au ni mimi mwenyewe ila lazima ujumbe ufike
 
Unaweza kupita kimagumashi kwenye mfumo uliokuchagua wenyewe? Basi kama ni hivo unakubaliana na wanaosema kuna uhujumu?
Inawezekana kabisa ka
Malalamiko yameletwa kwenye page yafanyiwe kazi. Nikienda direct nisije nikapotezwa mkuu. Nadhani nimeelezwa vizuri
Tu.
Kuna issue ya mtu
Kufanya interview na kuambiwa ana irrelevant qualifications regardless of the marks alizopata: issue ya pili ni mtu amefanya mtihani ila namba yake ya mtihani haipo so hafahamu majibu yake. Let’s forget about my ID tudeal na issue iliyopo mezani. Inawezekana nimewakilisha mtu au watu au ni mimi mwenyewe ila lazima ujumbe ufike
Unaulizwa technical questions unakwepa kujibu jibu Kwa uwazi tu bila kuonyesha wewe ni nani

Unapokua unakwepa kujibu maswali malalamiko Yako yanapoteza maana
 
Malalamiko yameletwa kwenye page yafanyiwe kazi. Nikienda direct nisije nikapotezwa mkuu. Nadhani nimeelezwa vizuri
Tu.
Kuna issue ya mtu
Kufanya interview na kuambiwa ana irrelevant qualifications regardless of the marks alizopata: issue ya pili ni mtu amefanya mtihani ila namba yake ya mtihani haipo so hafahamu majibu yake. Let’s forget about my ID tudeal na issue iliyopo mezani. Inawezekana nimewakilisha mtu au watu au ni mimi mwenyewe ila lazima ujumbe ufike
Kumbe walifanya jambo jema kukuchuja, kuwa na staff ambaye yupo desperate namna hii ni tatizo kabisa, there is always next time stop being grouchy.
 
Mkuu usiseme Kuna Mtu mtu anaweza amka akatunga tu scenario watu Wana Hulka tofauti.... Swali ni hivi wewe umefanya , Je Namba yako imeonekana au haijaonekana???

Okay ukiambiwa mpeleke mtu ambaye amefanya na namba yake haijaonekana unaweza mpeleka??

Kuna mtu kweli kafanya lakini mwenyewe kaandika namba sio either kwa kusahau au kupanick au kwa kusudi baada ya kuona mtihani umemchapa..... Usipende kuamini watu kwa kila wanachokisema mkuu, Utakuja ishia Jela... Cz hapo ukiambiwa nani huwezi mtaja.

Mimi nilifanya Paper Dar es salaam, ila kuna jamaa aliandika namba sio yake...baada ya kukusanya anastuka ,akapiga kelele na kweli paper kuangaliwa kaandika number sio yake, ila walitumia busara.... Sasa mtu kama huyo ,si angekuja kusema stori kama unazoongea wewe hapa Boss??

Wewe hujawahi fanya paper imekuchapa chuoni, ukaacha kuandika Number yako ya mtihani ili baadae upate favor kama ya special??
 
Mimi nilifanya Paper Dodoma, ila kuna jamaa aliandika namba sio yake...baada ya kukusanya anastuka ,akapiga kelele na kweli paper kuangaliwa kaandika number sio yake, ila walitumia busara.... Sasa mtu kama huyo ,si angekuja kusema stori kama unazoongea wewe hapa Boss??

Wewe hujawahi fanya paper imekuchapa chuoni, ukaacha kuandika Number yako ya mtihani ili baadae upate favor kama ya special??
Namba ya mtihanai imeandikwa TRA/20/38897/0067

Alafu wewe kwenye mtihani uandike 0067... Alafu unataka ,namba itokee boss wewe umeona wapi ? Yani kama mtu namba tu kuandika hawezi huyo mtu unaenda nae wapi boss?? Usiongee bila ushahidi utafungwa.... Haiwezekani wenzie number zitoke kwako tu isitoke /kwa yeye ... Yeye ni nani?? Anamjua Nani?? Ukiona hivyo lazima kuna issues.... Kuna watu ni wahitimu wa degree ila kichwani Weupe.... Kwani si unaona hata matokeo mwengine ana 95 mwengine degree huyo huyo ana marks 1... jifunze kujiongeza boss angalia wapi umekosea ...Hata upewe paper tena huwezi kutoboa ikiwa hutaki kuangalia wapi umekosea ujifunze
 
Kumbe walifanya jambo jema kukuchuja, kuwa na staff ambaye yupo desperate namna hii ni tatizo kabisa, there is always next time stop being grouchy.
Usije ukanitoa kwenye reli. Endelea kuonesha unajua kizungu. Unaitetea serikali? Hakikisha unawanyooshea njia kizazi chako chote. So kuleta issues huku ni kuwa desperate? Mbona kama unaligeuza hili swala kuwa personal sana.

So una acknowledge kwamba hakuna tatizo mimi nimetunga? Au na wewe ni mmoja wao unakuja kusawazisha. Mda mwengine unaweza kuwa chawa hadi ukaonekana pungasese.

Goodluck then
 
Namba ya mtihanai imeandikwa TRA/20/38897/0067

Alafu wewe kwenye mtihani uandike 0067... Alafu unataka ,namba itokee boss wewe umeona wapi ? Yani kama mtu namba tu kuandika hawezi huyo mtu unaenda nae wapi boss?? Usiongee bila ushahidi utafungwa.... Haiwezekani wenzie number zitoke kwako tu isitoke /kwa yeye ... Yeye ni nani?? Anamjua Nani?? Ukiona hivyo lazima kuna issues.... Kuna watu ni wahitimu wa degree ila kichwani Weupe.... Kwani si unaona hata matokeo mwengine ana 95 mwengine degree huyo huyo ana marks 1... jifunze kujiongeza boss angalia wapi umekosea ...Hata upewe paper tena huwezi kutoboa ikiwa hutaki kuangalia wapi umekosea ujifunze
People are so absurd😂 kwahiyo scenario yako wewe ya kutunga ndo iko sahihi ila ambae imemkuta ndo kakosea? Angekua amekosea kuandika angelalamika?

Huko mwisho umeiweka issue ki personal sana. Punguzeni ujuaji humu wewe kama kitu hukielewi au unaona bandiko halikubariki si upite pembeni
 
Mkuu usiseme Kuna Mtu mtu anaweza amka akatunga tu scenario watu Wana Hulka tofauti.... Swali ni hivi wewe umefanya , Je Namba yako imeonekana au haijaonekana???

Okay ukiambiwa mpeleke mtu ambaye amefanya na namba yake haijaonekana unaweza mpeleka??

Kuna mtu kweli kafanya lakini mwenyewe kaandika namba sio either kwa kusahau au kupanick au kwa kusudi baada ya kuona mtihani umemchapa..... Usipende kuamini watu kwa kila wanachokisema mkuu, Utakuja ishia Jela... Cz hapo ukiambiwa nani huwezi mtaja.

Mimi nilifanya Paper Dar es salaam, ila kuna jamaa aliandika namba sio yake...baada ya kukusanya anastuka ,akapiga kelele na kweli paper kuangaliwa kaandika number sio yake, ila walitumia busara.... Sasa mtu kama huyo ,si angekuja kusema stori kama unazoongea wewe hapa Boss??

Wewe hujawahi fanya paper imekuchapa chuoni, ukaacha kuandika Number yako ya mtihani ili baadae upate favor kama ya special??
Nije kuishia jela kisa bandiko la jamii forum? Au unadhani sheria unaijua peke yako??! Mbona ujuaji mwingi sana unachotetea haswa ni kitu gani?

Yaani ni sawa usikie mtu kavamiwa mtaani wewe ukazane kusema huu mtaa hauna wezi. Yaani ndo kinachonishangaza. Scenario yako ipo na sio kitu cha kushangaza. Kwahiyo mfumo uliokosea kuita watu, staff walioshindwa kuhakiki qualifications za wasailiwa hawawezi kukosea kuacha namba? As long as ni binadamu anae sahisha lolote linaweza kutokea.

So kama scenario huikubali does not mean haiwezi kutokea.

Ingekua haina shida basi TRA wasingekua wanafuta comments za watu wakiambiwa hizo
Shida kwenye instagram page
 
Back
Top Bottom