Mkuu usiseme Kuna Mtu mtu anaweza amka akatunga tu scenario watu Wana Hulka tofauti.... Swali ni hivi wewe umefanya , Je Namba yako imeonekana au haijaonekana???
Okay ukiambiwa mpeleke mtu ambaye amefanya na namba yake haijaonekana unaweza mpeleka??
Kuna mtu kweli kafanya lakini mwenyewe kaandika namba sio either kwa kusahau au kupanick au kwa kusudi baada ya kuona mtihani umemchapa..... Usipende kuamini watu kwa kila wanachokisema mkuu, Utakuja ishia Jela... Cz hapo ukiambiwa nani huwezi mtaja.
Mimi nilifanya Paper Dar es salaam, ila kuna jamaa aliandika namba sio yake...baada ya kukusanya anastuka ,akapiga kelele na kweli paper kuangaliwa kaandika number sio yake, ila walitumia busara.... Sasa mtu kama huyo ,si angekuja kusema stori kama unazoongea wewe hapa Boss??
Wewe hujawahi fanya paper imekuchapa chuoni, ukaacha kuandika Number yako ya mtihani ili baadae upate favor kama ya special??