Interview za TRA hazijatenda haki

Alitaka niingie kwenye shortlist ilihali sikuomba kazi
Na naskia mitihani imesahishwa na watu wa NBAA sijui lectures. Huyo ndugu yako sijui anafanya wapi au alikua anasahisha na kina nani au alitaka apachike kwenye mfumo au wapi ila hii interview ya TRA hii imeweka doa kubwa sana. Kuna watu hadi leo wanalalamika hawajapata matokeo yao. Sijajua kama wameamuaje ila naona kikubwa ni wenye wa kwao wapite
 
da poleni aisee hawa watoto watakuwa wa hovyo kabisa mimi nipate zali la namna hiyo hutonijua maana nitakauka kama siyo mimi na mzigo ntapiga kwelikweli maana hata kama nimefanyiwa mpango aliyenipokea atanikubali kwa kupiga mzigo na aliyenifanyia misheni ajue kweli nilikuwa na shida. Da kazi ipo
 
sasa kama lecture wa NBAA hapo mnatuchanganya NBAA na TRA wapi na wapi wamewezaje tena wasahihishe wengine mara hawa watoto wameingia hapo sijaelewa.
 
sasa kama lecture wa NBAA hapo mnatuchanganya NBAA na TRA wapi na wapi wamewezaje tena wasahihishe wengine mara hawa watoto wameingia hapo sijaelewa.
Soma kuelewa sio ili
Ujibu. Nimesema naskia. Kwahiyo unadhani hr wa TRA wanaacha kazi zao kuja kusahisha mitihani ya accounts?
 
Kuna mahali nakubaliana na wewe ila kuna mahali ukweli usemwe

Mm pia nilifanya huo mtihani nikiwa kituo kimoja nilliona kuna mtu alikuwa ameitwa kwenye tax management officer amesoma public administration (entrepreneurship) kama sikosei Ila tangazo lilitaka mtu awe na accounting/ finance jamaa akadanganya akazuga anavojua akapiga pepa.
Sasa mtu kama huyu wakitaka kujiridhisha lazima waraona course yake ni irrelevant pamoja na kwamba amefaulu.
Kwa huyo wakati mwingine ukiweka mawazo yako Kuwa hasi basi itakuwa hivyo. Mm binafsi nilikubaliana na nilichokipata cha msingi mapambano yaendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…