HakiKwanza_2015
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 381
- 557
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jipange kifikra asee usije ukajinyinga bure..... Hii ndio picha halisi ya wasomi tulio nao wasomi msioweza kufanya maisha mpka muajieriwe na TRA msomi usie na thamani mpaka uajiriwe msomi aambaye usomi wako hauna manufaa na ww mpaka uajiriwe. Kiufupi ww kwa aliyoyajaza akilini kamwe huwezi ajiriwa TRA na hasa unapojidanganya kwa kusoma chuo cha kodi,
Habari wakuu.
Lalamiko nilaloleta mahali hapa ni kwanini TRA iitishe interview, iruhusu watu wafanye alafu mtu unafaulu kwa marks zaidi ya tisini unaambiwa una irrelevant qualification za kuendelea na mchakato wa kufanya oral interview.
Ina maana hadi wanakuita uje ufanye interview hawakujua kwamba una irrelevant qualifications?
Mtu unakopa pesa ili uweze kufika mkoa ambao umeitwa kwenda kufanya Interview maana interview inakukuta kwenye vibarua vya watu unapambana kujitolea alafu unafika unapambana kusoma usiku na mchana unajiandaa vizuri unaingia kwenye mtihani unafanya vizuri unafaulu kwa marks za juu kabisa alafu unakuja kuambiwa umefaulu lakini hujachaguliwa kwakua una irrelevant qualifications? Kwanini mliita mtu in the first place?
INTERVIEW IRUDIWE ILI HAKI IWEPO. MCHAKATO MZIMA WA
INTERVIEW URUDIWE, WATANGAZE UPYA ILI WATU WAOMBE UPYA NA WENYE QUALIFICATIONS HUSIKA WAOMBE NA MUWACHAGUE KWA HAKI NA USAWA. WAHANGA NI WENGI SANA NA INAUMIZA.
NAOMBA TRA WARUDIE MCHAKATO WA INTERVIEW ILI WALIOKOSESHWA KWENDA KWENYE ORAL KWA KIGEZO CHA IRRELEVANT QUALIFICATIONS HATA KAMA WANA MARKS KUBWA NAO WAITWE WAFANYE TENA INTERVIEW.
Haki itendeke watoto wa maskini tunaendelea kusota.
Nimeambatanisha na mfano wa uonevu huo uliotendeka.
Na TRA mlipotaka kufanyisha interview nyinyi wenyewe hiki ndo mlitaka kufanya? Haki itendeke mchakato urudiwe
Punga kazini🤣Jipange kifikra asee usije ukajinyinga bure..... Hii ndio picha halisi ya wasomi tulio nao wasomi msioweza kufanya maisha mpka muajieriwe na TRA msomi usie na thamani mpaka uajiriwe msomi aambaye usomi wako hauna manufaa na ww mpaka uajiriwe. Kiufupi ww kwa aliyoyajaza akilini kamwe huwezi ajiriwa TRA na hasa unapojidanganya kwa kusoma chuo cha kodi,
ungejua kwanza misingi ya hicho chuo ilikua ni nini basi hata usingesoma pale alafu juliulize kama wanachuo cha kodi kwann interviews zisifanyike pale pale au kwann wasichukue moja kwa moja pale chuoni.
dogo fungua macho uone mbele.
😂😂😂UNAJUA MIMI NIMESOMA KOZI GANI...... 😂😂😂😂 NYOOOOOOOO UNAJITAKA HUJITAKI😂😂😂
🚮Dogo treni la kwenda Kigoma imekuacha angalia utumishi mbona wametangaza nyingi, ongeza received ujipange kwenda kufanya kwakuwa unasema kule ni kwepesi sana basi najua utapata.
Umekosa tulia kwani uliingia mkataba lazima upate?
motiveshono spika au vipiAlaf sio lazima ufanye kazi TRA ili maisha yaende. Wapo watu kibao wanapambana mtaani huyo wa tra mwemyewe haoni upepo. Jipange sana asee fikra zako huenda ni finyu au umekuzwa familia ya kijinga inayokumbatia umaskini
pole kaka utapata riski sehemu nyengineHabari wakuu.
Lalamiko nilaloleta mahali hapa ni kwanini TRA iitishe interview, iruhusu watu wafanye alafu mtu unafaulu kwa marks zaidi ya tisini unaambiwa una irrelevant qualification za kuendelea na mchakato wa kufanya oral interview.
Ina maana hadi wanakuita uje ufanye interview hawakujua kwamba una irrelevant qualifications?
Mtu unakopa pesa ili uweze kufika mkoa ambao umeitwa kwenda kufanya Interview maana interview inakukuta kwenye vibarua vya watu unapambana kujitolea alafu unafika unapambana kusoma usiku na mchana unajiandaa vizuri unaingia kwenye mtihani unafanya vizuri unafaulu kwa marks za juu kabisa alafu unakuja kuambiwa umefaulu lakini hujachaguliwa kwakua una irrelevant qualifications? Kwanini mliita mtu in the first place?
INTERVIEW IRUDIWE ILI HAKI IWEPO. MCHAKATO MZIMA WA
INTERVIEW URUDIWE, WATANGAZE UPYA ILI WATU WAOMBE UPYA NA WENYE QUALIFICATIONS HUSIKA WAOMBE NA MUWACHAGUE KWA HAKI NA USAWA. WAHANGA NI WENGI SANA NA INAUMIZA.
NAOMBA TRA WARUDIE MCHAKATO WA INTERVIEW ILI WALIOKOSESHWA KWENDA KWENYE ORAL KWA KIGEZO CHA IRRELEVANT QUALIFICATIONS HATA KAMA WANA MARKS KUBWA NAO WAITWE WAFANYE TENA INTERVIEW.
Haki itendeke watoto wa maskini tunaendelea kusota.
Nimeambatanisha na mfano wa uonevu huo uliotendeka.
Na TRA mlipotaka kufanyisha interview nyinyi wenyewe hiki ndo mlitaka kufanya? Haki itendeke mchakato urudiwe
Umeitwa kwenye usaili umekosa na sababu yakukosa umeelezwa bado unaona sio haki, kuna watu maelfu waliomba hata kwenye usaili hawakuitwa. Sasa unataka nini? Hata kama umesoma archiology wakuchukue tu kisa umasikini wa kwenu?Ila usema ukweli,ukikosa TRA hata usijilaumu Wala usitafute kuwa ulikosea wapi,unaweza pata passmark ya oral bila kujua kuwa wenye kazi wapo tayari,unatoka mwanxa kuja dar alafu unaambulia patupu,kaza buti endelea kupambana
Nawewe ukakata tamaa hautapata, wewe babako hayuko tra si ungepata 100% uone kama ungeachwaIn reality.. it hurts. Kwasababu wanatuambia kabisa mi dad wangu yuko huko so either way ntapita tu. Kongole kwao ila tusio na dads huko nani anatusemea. So tusiseme kwasababu it sounds like a victim mentality? Isn’t it a reality thou? It being worthy of being an issue or not is not my case to solve but the truth has to be spoken
To be honest kwa upande wangu, paper ya tax management officer kama ingesahihishwa fairly I wouldn't expect nothing less than 85% thats to the minimum. Walitoa maswali rahisi sana mfano 1. Conditions for claimability of input tax. Ambazo majibu yake yametajwa S.68(1)a-c ya Vat act cap 148 10 marksNawewe ukakata tamaa hautapata, wewe babako hayuko tra si ungepata 100% uone kama ungeachwa
Nje ya mtihani ni rahisi kuandika na kufanya citing ya vifungu, mitihani inayoonekana rahisi huwa na matokeo yasiyotarajiwa.To be honest kwa upande wangu, paper ya tax management officer kama ingesahihishwa fairly I wouldn't expect nothing less than 85% thats to the minimum. Walitoa maswali rahisi sana mfano 1. Conditions for claimability of input tax. Ambazo majibu yake yametajwa S.68(1)a-c ya Vat act cap 148 10 marks
2 . Reason for jeopardy assessment ambazo zimetajwa kwenye S. 47 ya Tax administration Act cap sheria ambayo inafuta S.95 ya Income tax Act. 10 marks
3. Reasons leading to objection to commissioner. Ambazo mifano yake imetajwa katika S. 14 ya Tax revenue appeals Act cap 408. 10 marks. Bado other simple questions like calculation ya tax iliyopokelewa individual kutoka kwenye dividends. 10 marks. National Income calculation 10 marks. Sababu za kutumia presumptive rates 10 marks kati simple 6 multiple choice questions. @5 marks. Inaumiza maana Kila nikicross check wapi kwenye mtihani nilikosea sioni comparing to reality in laws and practice. Kwa hiyo kaka usiwaone watu waliopata marks za chini wazembe you don't no them and their abilities at all.
Mama Samia anayaona haya ila anajifanya ameyafumbia macho. Anasubiri 2025 awaambie vijana wampigie kura??Out of context
Nilipigiwa simu na ndugu yangu mmoja akaniuliza, ivi ulifanya CPA? kama ndio nitumie nyaraka chap, wiki ijayo tunatoa majina. Mimi CPA sikufanya wala hiyo kazi sikuomba.
Baada ya wiki mbili majina yalitoka.
Kuna kupata kazi kwa hivi na kwa namna ya mleta mada.
Hao wanakebehi ila huu mtihani haukua fair at all. Kuanzia mchakato hadi usahishaji as you say.To be honest kwa upande wangu, paper ya tax management officer kama ingesahihishwa fairly I wouldn't expect nothing less than 85% thats to the minimum. Walitoa maswali rahisi sana mfano 1. Conditions for claimability of input tax. Ambazo majibu yake yametajwa S.68(1)a-c ya Vat act cap 148 10 marks
2 . Reason for jeopardy assessment ambazo zimetajwa kwenye S. 47 ya Tax administration Act cap sheria ambayo inafuta S.95 ya Income tax Act. 10 marks
3. Reasons leading to objection to commissioner. Ambazo mifano yake imetajwa katika S. 14 ya Tax revenue appeals Act cap 408. 10 marks. Bado other simple questions like calculation ya tax iliyopokelewa individual kutoka kwenye dividends. 10 marks. National Income calculation 10 marks. Sababu za kutumia presumptive rates 10 marks kati simple 6 multiple choice questions. @5 marks. Inaumiza maana Kila nikicross check wapi kwenye mtihani nilikosea sioni comparing to reality in laws and practice. Kwa hiyo kaka usiwaone watu waliopata marks za chini wazembe you don't no them and their abilities at all.
Unaamisha huyo ndugu yako alitaka uingie kwenye matokeo ya usahili wa kuandika ilihali wewe haukuwa umefanya huo mtihani.Out of context
Nilipigiwa simu na ndugu yangu mmoja akaniuliza, ivi ulifanya CPA? kama ndio nitumie nyaraka chap, wiki ijayo tunatoa majina. Mimi CPA sikufanya wala hiyo kazi sikuomba.
Baada ya wiki mbili majina yalitoka.
Kuna kupata kazi kwa hivi na kwa namna ya mleta mada.
Alitaka niingie kwenye shortlist ilihali sikuomba kaziY
Unaamisha huyo ndugu yako alitaka uingie kwenye matokeo ya usahili wa kuandika ilihali wewe haukuwa umefanya huo mtihani.
Wewe ndio nimekuelewa vizuri vijana wengi hawapo makini wanarahisisha Sana mamboMkuu ipo hivi, Mfano hizo kazi za Custom kuna mtu ana Masters lakini ukute Anatakiwa mtu wa Bachelor, au ana Bachelor Lakini kaomba kazi ya Diploma...
Mfumo ukamchagua , System ilikosea ikamchagua.... Au jamaa Kaweka Vyeti vya Degree ...ila kwenye barua kajichanganya akaandika ana masters sasa baada ya usahihishaji na kupanga matokeo wakajiridhisha...kwann asiandikiwe ana irrelevant Qualification??
Leo nenda kwenye Taasisi yoyote , wametangaza kazi za Diploma, alafu wewe uwe na Master ..but kwenye system ume upload Diploma vizuri tu.
Siku ya oral mpo wawili mwenzako ana Diploma, wewe una Diploma na masters umeingia kwenye Panel ukajichanga wakati wa kujielezea Ulataja na masters yako, wakakudadis vizuri ukajaa....
Wewe kwa Akili yako kisoda ,unafikir hapo hata ukipata 100 watakuchukua? Wakamuacha mwenye qualification??
DahhAlitaka niingie kwenye shortlist ilihali sikuomba kazi