Interviews za Ali Kiba zinaboa; Yeye kwake kila kitu ni "Personal"

Interviews za Ali Kiba zinaboa; Yeye kwake kila kitu ni "Personal"

Tatizo la wabongo tunapenda kujua jirani kala nini ili tumfananishe.

Safi sana ali kiba. Kinachokuweka juu, ni huko kutoweka kila kitu wazi. Kila mtu anabaki kuongea lake huku akitafuta ukweli ni upi
Ukisha kuwa celebrate tambua kuwa mashabiki ndio mtaji wako.
Sasa km unafanya kila kitu personal tena vingine vya kawaida kabisa jibu ninkwamba USHAMBA UMEZIDI.

KIBA NI MSHAMBA, ANA MALEZI YA USWAZI NA KUJIONA MKUBWA TOFAUTI NA UHALISIA.

BIFU LAKE NA DIAMOND NDIO LINA MUWEKA MJINI.
 
Tangu lini nyi team domo mmekuwa washauri wa kiba kimuziki...nyi endeleeni kumshauri domo tuendelee kufaidi mavideo yake anayowashikashika makalio dada zenu
Domo ndio nani mkuu?
Mbona mimi sina team?

Mi nachambua mada kama ilivyoletwaa. Kiba ni mshamba na analijua hilo
 
Exposure gani inahitajika kwake? Kama kusafiri kasafiri sana, kaudhulia matamasha mbali mbali na kuonana watu tofauti tofauti, tuseme sio mtu kuona mbali na wakujiongeza kazoea MBELEKO.

Unafikiri hiyo sikukuu aliyoipata angepata mtoto wa TANDALE pangekuwa apatoshi na ingekuwa habari ya wiki nzima ama mwezi ina trend tu.
 
Domo ndio nani mkuu?
Mbona mimi sina team?

Mi nachambua mada kama ilivyoletwaa. Kiba ni mshamba na analijua hilo
Sisi washabiki wake tunampendea huo ushamba wake...wewe endelea kushabikia hao wajanja wanaowashika shika na kuwachezea dada zako makalio kwenye mavideo yao..sisi tuacheni na mziki mzuri wa huyu mshamba wetu nyinyi tafuteni wajanja wa kuwashabikia
 
Sijaiona enterview yake,,ila kutokana na comments za humu,,naona jamaa aache tu kufanya enterviews ,kwa sababu haziwezi,,,sasa mtu unajenga nyumba,ukiulizwa kuhusu hiyo nyumba hutaki kuongea,,ni wazi jamaa hajui maana ya kuwa public figure
 
Ukisha kuwa celebrate tambua kuwa mashabiki ndio mtaji wako.
Sasa km unafanya kila kitu personal tena vingine vya kawaida kabisa jibu ninkwamba USHAMBA UMEZIDI.

KIBA NI MSHAMBA, ANA MALEZI YA USWAZI NA KUJIONA MKUBWA TOFAUTI NA UHALISIA.

BIFU LAKE NA DIAMOND NDIO LINA MUWEKA MJINI.
Kwani wanabifu?
 
Kama ni maswali ya namna hii bora hakujibu, tatizo hata hao watangazaji wetu vimeo, wanauliza udaku na ujinga. Coz watanzania wanapenda umbea na udaku ndio maana wengi wamechukia.

N.B: Sijasikiliza hiyo interview!
Hivi interview afanye MUSSA, GEA HABIB, JOSE MARA bora kidooogo yule HUSNA hua anajitahidi.

Mussa ndio alimkalia kooni binti wa watu eti aseme ilikuaje akaelezea kidogo walivyokutana akaona haitoshi ooh nani alimuanza mwenzie kumtamkia, mara ooh alivyokuja ulimpokeaje, mara ooh ilichukua muda gani kuja kwa wazazi wako, mara ooh mwenzio ana watoto watatu je wewe una wangapi, mara ooh utamruhusu aoe mke mwingine? (hapa ndio walimkalia koon mdada wa watu anashindwa kujibu wamekazana tuu ikabidi Kiba aingilie kati hawataki mpk ajibu heee niliwashangaa sana)

Kuna siku Chriss Brown alishawahi kuvunja vioo vya studio kwa kulazimishwa aongelee kuhusu Rihanna wakati alisema hataki.

Kama mtu jambo lake hataki kuliongea asilazimishwe kwani wao ndio wanachelewesha interview na kufanya iwe mbaya.

Nilishaona interview ya Mimi Mars alisema maisha yake binafsi yabaki kua binafsi aulizwe kuhusu kazi zake, hata hao mashabiki wamempendea Kazi zake na sio maisha yake binafsi. Nilipenda sana jibu lake.

Ref: Jayz and Beyonce.
 
Ukisha kuwa celebrate tambua kuwa mashabiki ndio mtaji wako.
Sasa km unafanya kila kitu personal tena vingine vya kawaida kabisa jibu ninkwamba USHAMBA UMEZIDI.

KIBA NI MSHAMBA, ANA MALEZI YA USWAZI NA KUJIONA MKUBWA TOFAUTI NA UHALISIA.

BIFU LAKE NA DIAMOND NDIO LINA MUWEKA MJINI.
Kwani wanabifu??? Au nyie mashabiki ndo mnafanya waonekane wanabifu?
 
kama mkifuatilia vipindi vya mikasi vya salama jabir,kuna kipindi chake kimoja salama alimuacha akawa anahojiwa na vinyozi tu.na alipoondoka salama hakutaka hata kumuaga.ngoja niitafute niione vizuri u tube
Mkuu umenikumbusha kitu pia wale vinyozi nao wanazingua kuna siku walimuhoji mzee majuto akawa anatiririka mistari wale vinyozi wakapandikiza swali lingine wakati lile hajamaliza bas ikawa majibu hayajapatikana kipindi kikawa zero
 
Alikiba anajua kweli kuwafunga midomo wabongo maana umbea ndio mlozoea, lol

Mtu eti anataka kujua alimtongozaje tongozaje, ilichukua muda gani kukubali, walilala kabla ya ndoa au baada, atamruhusu kuoa mke mwingine,

Upuuzi Upuuzi tu na angewachekea hapo wangemuuliza hadi anampigaga bao ngapi kwa siku.

Go Kiba Go.
Hahaha[emoji104] hahaha[emoji104]

[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Naunga hoja mkono
SWALI MTANGAZAJI: Mlikutanaje na Ali Kiba
ALI KIBA: Usijibu hilo swali utanianika
MTANGAZAJI: Tunataka kujua tu Ally
ALI KIBA: Hapana usijibu mwanaume ndo anamfata mwanamke

Ningekua mimi ningemfukuza na hiyo sikukuu ingeishia hapo

Kinachomuweka Kiba ni roho mbaya za wabongo kwa Diamond ila Kiba kwa domo ana mengi ya kujifunza [HASHTAG]#Mofayagwanyoko[/HASHTAG]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mofaya gwanyoko
 
Naunga hoja mkono
SWALI MTANGAZAJI: Mlikutanaje na Ali Kiba
ALI KIBA: Usijibu hilo swali utanianika
MTANGAZAJI: Tunataka kujua tu Ally
ALI KIBA: Hapana usijibu mwanaume ndo anamfata mwanamke

Ningekua mimi ningemfukuza na hiyo sikukuu ingeishia hapo

Kinachomuweka Kiba ni roho mbaya za wabongo kwa Diamond ila Kiba kwa domo ana mengi ya kujifunza [HASHTAG]#Mofayagwanyoko[/HASHTAG]
Kweli man, mi nilikuwa nampenda kiba kwa upole wake na kutokuwa mtu wa mjivuni lkn some time ananibore
 
Tofauti na masuper wengine ambao ukiangalia interviews zao mtazamaji utajifunza kitu kutoka kwake, na ataku-inspire kwa namna moja au nyingine.
Huyu mheshimiwa, kati ya maswali 10 atakayoulizwa atajibu 2 tu!

Yeye kwake kila kitu nni PERSONAL... Aaagrh, wewe ni msanii mkubwa bwana, watu wanapenda kujua na kujifunza kutoka kwako including some of your personal life stories (Sio kila kitu off course cha kuweka hadharani) lkn kwako ni too much!

Sasa umejipeleka mwenyewe kwenye vipindi kama LEO TENA na SHILAWADU, na unajua kabisa aina za interview ambazo huwa zinafanyika kule, matokeo yake kila saa unatishia kuondoka...

THIS IS TOO LOW BROTHER!
Nadhani Mashoto karibu wote wako hivyo, aidha wasiri sana ama hawasomeki kabisa yani shagalabagala. Ally Kiba hana tofauti na shemeji yangu.
 
Back
Top Bottom