Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Wakuu,
Hawa ni bqadhi ya Marais kutoka nchi za Afrika wakewa wamebanana kama mahindi katika mkutano wa upatanisho kati ya Rwanda na Congo, wametulia wenyewe kama vipanya kwenye viti vya chuma, hakuna red carpet, hakuna maviti ya kifahari ambayo seti unajenga nyumba😂😂😂, hakuna meza wala maji ya kunywa! Wengine hata kalio hazitoshi, jinsi walivyonona😂😂
Ni tuviti tu twa chuma!
Ielezee picha hii kwa mstari mmoja tu🌚