Ipe Maneno: Marais wa Afrika wakiwa wamebanana kwenye viti vya chuma mkutano wa DRC - Rwanda Marekani!

Aibu sana, sasa wakirudi kila mmoja kwenye himaya yake wakaa kama wafalme, unakuta mtu ana bajeti ya ikulu kiasi sawa na hela zinazotengewa elimu.
Namuona MDVD hapo na kasongo, hivi uelekeo wa 2027 baada ya kifo cha RAO ni vipi? Wantam au Two tam?
 
Wakuu,

Hawa ni bqadhi ya Marais kutoka nchi za Afrika wakewa wamebanana kama mahindi katika mkutano wa upatanisho kati ya Rwanda na Congo, wametulia wenyewe kama vipanya kwenye viti vya chuma, hakuna red carpet, hakuna maviti ya kifahari ambayo seti unajenga nyumba😂😂😂, hakuna meza wala maji ya kunywa! Wengine hata kalio hazitoshi, jinsi walivyonona😂😂

Ni tuviti tu twa chuma!

Ielezee picha hii kwa mstari mmoja tu🌚

Ni picha inayofikirisha kwa kweli!

Binafsi naona ndiyo inayofaa kwa watu kama hawa ambao hata swala lao inabidi lipelekwe nje.

Lakini ukitazama vizuri hiyo picha utaona hao maRais ni kutoka nchi gani.

Upatanisho huo ni 'project' ya wakubwa.

Sasa ngoja tuone kama itazaa matunda tarajiwa.
 
Wakuu,

Hawa ni bqadhi ya Marais kutoka nchi za Afrika wakewa wamebanana kama mahindi katika mkutano wa upatanisho kati ya Rwanda na Congo, wametulia wenyewe kama vipanya kwenye viti vya chuma, hakuna red carpet, hakuna maviti ya kifahari ambayo seti unajenga nyumba😂😂😂, hakuna meza wala maji ya kunywa! Wengine hata kalio hazitoshi, jinsi walivyonona😂😂

Ni tuviti tu twa chuma!

Ielezee picha hii kwa mstari mmoja tu🌚

Wazungu wanawafundisha namna ya kuishi kulingana na Hali halisi ya nchi zao. Sasa walivyo vichwa panzi wataona kama wanadhalilishwa
 
Kuna kitu sio bure.
How can you sit waheshimiwa sana kwenye viti vya mabati????
Halafu mbona huko nje naona watu wanafurahi as if hawajagundua kwamba wamedharauliwa
 
Niliwahi kuishi jirani na mtumishi mmoja mkubwa serikalini. Ilikuwa karibu kila wiki au wiki mbili nikienda kwao, nakuta seti mpya ya makochi. Kubadili magari ndiyo usiseme, mapya kabisa, siti bado zina harufu ya upya na hadi yanavyonguruma unajua hii mashine ni mpyaa.
 
Kuna kitu sio bure.
How can you sit waheshimiwa sana kwenye viti vya mabati????
Halafu mbona huko nje naona watu wanafurahi as if hawajagundua kwamba wamedharauliwa
Haukumbuki waliwahi kupandishwa kwenye daladala kule Uingereza kwenye mazishi ya Malkia?
 
Hao waliiowakalisha si ndio role model wenu?Kila siku ohh mtakatiwa misaada leo mnawakejeli vibaraka wenzenu?
Role model wetu ni haya majizi ya kura na kufanya mauaji.
 
Kura ipi umeibiwa na hamjashiriki uchaguzi.Au mpo delusional?Huwezi kususia uchaguzi halafu udai baadaye umeibiwa.You cannot have your cake and eat it too.
 
Weka ushahidi wa zilipotoka kura 31m.
 
Wakuu,

Hawa ni bqadhi ya Marais kutoka nchi za Afrika wakewa wamebanana kama mahindi katika mkutano wa upatanisho kati ya Rwanda na Congo, wametulia wenyewe kama vipanya kwenye viti vya chuma, hakuna red carpet, hakuna maviti ya kifahari ambayo seti unajenga nyumba😂😂😂, hakuna meza wala maji ya kunywa! Wengine hata kalio hazitoshi, jinsi walivyonona😂😂

Ni tuviti tu twa chuma!

Ielezee picha hii kwa mstari mmoja tu🌚

Halafu ukiwakuta anga zao huku Africa ni miungu watu😀
 
Wakuu,

Hawa ni bqadhi ya Marais kutoka nchi za Afrika wakewa wamebanana kama mahindi katika mkutano wa upatanisho kati ya Rwanda na Congo, wametulia wenyewe kama vipanya kwenye viti vya chuma, hakuna red carpet, hakuna maviti ya kifahari ambayo seti unajenga nyumba😂😂😂, hakuna meza wala maji ya kunywa! Wengine hata kalio hazitoshi, jinsi walivyonona😂😂

Ni tuviti tu twa chuma!

Ielezee picha hii kwa mstari mmoja tu🌚

Musalia Mudavadi ni Rais wa wapi?
 
Wao hawana noma, shida iko kwetu hadi maji tunanunua nje ya nchi😂😂😂 unavaa saa ya mamilioni, seti ya viti unamiliki mjengo wako mbezi beach😂😂

..wakitoka hapo wanamalizia hasira zao kwenye matumizi ya kufa mtu kwa kutumia kodi zetu.
 
Back
Top Bottom