Ipe Maneno: Marais wa Afrika wakiwa wamebanana kwenye viti vya chuma mkutano wa DRC - Rwanda Marekani!

Ipe Maneno: Marais wa Afrika wakiwa wamebanana kwenye viti vya chuma mkutano wa DRC - Rwanda Marekani!

Wakuu,

Hawa ni bqadhi ya Marais kutoka nchi za Afrika wakewa wamebanana kama mahindi katika mkutano wa upatanisho kati ya Rwanda na Congo, wametulia wenyewe kama vipanya kwenye viti vya chuma, hakuna red carpet, hakuna maviti ya kifahari ambayo seti unajenga nyumba😂😂😂, hakuna meza wala maji ya kunywa! Wengine hata kalio hazitoshi, jinsi walivyonona😂😂

Ni tuviti tu twa chuma!

Ielezee picha hii kwa mstari mmoja tu🌚

Trump amekwishasema sisi Waafrika na nchi zetu zote ni GARBAGE YAANI TAKATAKA. Halafu watawala wetu wanakimbilia huko kama vile watoto wa shule wameitwa ofisini kwa mwalimu mkuu wakisubiri adhabu !!! AIBU TUPU
 
Wakuu,

Hawa ni bqadhi ya Marais kutoka nchi za Afrika wakewa wamebanana kama mahindi katika mkutano wa upatanisho kati ya Rwanda na Congo, wametulia wenyewe kama vipanya kwenye viti vya chuma, hakuna red carpet, hakuna maviti ya kifahari ambayo seti unajenga nyumba😂😂😂, hakuna meza wala maji ya kunywa! Wengine hata kalio hazitoshi, jinsi walivyonona😂😂

Ni tuviti tu twa chuma!

Ielezee picha hii kwa mstari mmoja tu🌚

Ndio maana ni makatili
 
Namuona MDVD hapo na kasongo, hivi uelekeo wa 2027 baada ya kifo cha RAO ni vipi? Wantam au Two tam?

Kumtoa Ruto hapo hakiwezekani, maana hata hamna yeyote ninayemuona wa maana au mwenye uwezo huo, sio rahisi kumshinda rais aliye madarakani.
 
Acha upuuzi. Alipochukua nchi ilikuwa hivi? Je huyu mama yako anateka hadi mabalozi wawakilishi wake.
Ilikuwaje, ama unadhani kila mtu alitembea na bit zake?
 
Waafrika ndo mnapenda ufahari. Ulaya na Marekani mkao huu ni wa kawaida sana

Wenzetu wazungu wanajali matokeo ya kazi sio kuoneshana ufahari.
Na kingine huko kaz za gvmmnent ndio lowest paying jobs na wala hawana time nazo ndio mana
Ila humu africa yangewekwa makoch hapo masofa .vitu vya dk 1 lkn ili wat wapige mtu wa catering a geleta yale maviti na mito michafu
 
Wakuu,

Hawa ni bqadhi ya Marais kutoka nchi za Afrika wakewa wamebanana kama mahindi katika mkutano wa upatanisho kati ya Rwanda na Congo, wametulia wenyewe kama vipanya kwenye viti vya chuma, hakuna red carpet, hakuna maviti ya kifahari ambayo seti unajenga nyumba😂😂😂, hakuna meza wala maji ya kunywa! Wengine hata kalio hazitoshi, jinsi walivyonona😂😂

Ni tuviti tu twa chuma!

Ielezee picha hii kwa mstari mmoja tu🌚

Ndiyo dawa mpaka watie akili!!!
 
Aibu sana, sasa wakirudi kila mmoja kwenye himaya yake wakaa kama wafalme, unakuta mtu ana bajeti ya ikulu kiasi sawa na hela zinazotengewa elimu.
Sasa hapo aibu iko wapi mzee
 
Hayo Marais ya Africa mengi hayajitambui. Ndio maana sikuyahurumia yalipopakizwa kwenye basi kama watoto wa kindergarten pale Uingereza. Sasa mtu kama SSH ni wakupewa heshima gani huko Ulaya na Marekani?
 
Back
Top Bottom