iPhone 12 haitokubali spare hata kutoka kwa iPhone nyingine

iPhone 12 haitokubali spare hata kutoka kwa iPhone nyingine

leo hii apple wana mafanikio sababu ya viongozi wenye maono,tokea muasisi wa hiyo kampuni.

kama uongozi mbovu umeanza kuwala nokia 2000,unakujaje kusema apple ndio aliiua nokia!!!!!
ndio sababu tunasema matatizo yao wenyewe ndio yalifanya wakapoteza ushindani,sio ujio wa apple na iphone.maana apple yupo na kampuni kibao bado zinazaliwa na kukua.

Assume kkoo to tegeta ipo daladala moja tu ila ina matatizo kibao, then atokee mtu mwingine aje aweke bus lingine safi.

Ndo kilichotokea.
 
Assume kkoo to tegeta ipo daladala moja tu ila ina matatizo kibao, then atokee mtu mwingine aje aweke bus lingine safi.

Ndo kilichotokea.
Assume kkoo to tegeta kuna dala dala moja, ikaja mwengine akaleta basi, watu wakawa bado wanapanda ile ile daladala, basi likawa tupu.

Baadae mwenye daladala akaweka daladala yake garage, akanunua kibajaji, watu ndio wakaanza kupanda basi.
 
Back
Top Bottom